SASA YANGA KUKIPIGA NA WALE WALIOITOA SHOO EVERTON YA ENGLAND

0

Ikiwa ni katika kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi, Yanga imepanga kucheza mchezo wake wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya wababe wa Everton FC ambao no Kariobang Shark's ya nchini Kenya.Wiki hiyo ya Mwananchi iliyopewa jina la ' Kukusanya Kijiji' kilele chake kinatajiwa kuhitimishwa Agosti 4, Mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kariobang hivi karibuni walicheza...

AZAM FC: TUPO TAYARI KUPAMBANA KIMATAIFA

0

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tayari umeanza maandalizi ya kujiaanda na michuano ya kimataifa kweye kombe la Shirikisho.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azm FC, Jaffary Maganga amesema kuwa Kocha Mkuu ameaacha programu maalumu ambayo itatumika na wachezaji."Kocha Mkuu ameacha programu maalumu ambayo inaendelea na lengo ni kujiweka tayari kwa ushindani."Tutacheza na Fasil Kenema ya Ethiopia mchezo...

INTER MILAN NA MANCHESTER UNITED ZINAKOMOANA ISHU YA LUKAKU

0

ROMELU Lukaku mshambuliaji wa Manchester United anatajwa kukamilisha dili lake la kujiunga na Inter Milan wiki ijayo huku United nao wakiwakomoa mabosi wa Milan.Mabosi wa timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Serie A wanahaha kuipata saini ya nyota huyo msimu ujao.Milan imetenga dau la pauni milioni 54 licha ya kushindwa kufikia mchanganuo ambao mabosi wa United wanautaka kwa mshambuliaji huyo...

YANGA TAFADHARI MALIZENI HII HADITHI YA YONDANI…..

0

Na Saleh AllyYANGA tayari ipo kambini mjini Morogoro kujiandaa na msimu mpya wa 2019/20, msimu ambao mashabiki wengi wa Jangwani watakuwa na matarajio makubwa.Matarajio makubwa kwa kuwa sasa wanajua ndani ya klabu yao kuna mabadiliko makubwa, watakuwa na viongozi waliochaguliwa na si wale wanaokaimu baada ya waliochaguliwa kuondoka.Wanajua Yanga iko katika mikono salama, kinachotakiwa kwa sasa ni wahusika kufanya...

CHAMA NAYE AANZA MAKEKE YAKE LEO SIMBA IKIMPIGA 4-1 PLATINUM STARS

0

CLATOUS Chama, kiungo wa Simba leo amefanya yake wakati Simba ikiibuka kidedea kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Platinum Stars.Mchezo huu ambao ni maalumu kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao ni wa pili kwa Simba kucheza baada ya kuweka kambi nchini Afrika Kusini.Chama amefunga mabao mawili dakika ya 11, 58 na mtupiaji mwingine ni Shiboub aliyefunga kwa...

NAMUNGO FC YAFANYA BIASHARA NA BAROLA WA BIASHARA UNITED

0

NURDINE Barola aliyekuwa mlinda mlango wa kikosi cha Biashara United amesajiliwa na timu ya Namungo FC kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Barola alifanya kazi na Kocha Mkuu wa Namungo FC, Hitimana Thiery kabla ya kutimuliwa ndani ya kikosi cha Biashara.Anaungana na bosi wake wa zamani ambaye ndiye aliipandisha Namungo FC kwenye Ligi Kuu Bara kutoka Ligi Daraja la Kwanza.

BEKI YANGA KUTIMKIA LIPULI FC

0

 ANDREW Vincent 'Dante'  beki wa Yanga anatajwa kujiunga na kikosi cha Lipuli chenye maskani yake mkoani Iringa.Habari zinaeleza kuwa sababu kubwa ya nyota huyo kujiunga na klabu hiyo ni kutokuwa na maelewano mazuri na mabosi wa timu yake ya Yanga hasa kwenye masuala ya maslahi.Mpaka sasa bado Dante hajajiunga na timu kambini Morogoro huku habari za ndani zikeieleza kuwa...

SIMBA KUENDELEA KUTESTI MITAMBO AFRIKA KUSINI

0

Baada ya Simba jana kushinda mchezo wake wa kwanza wa kirafiki kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Orbert TVET leo wanacheza mchezo wa pili.Mchezo wa leo utakuwa dhidi ya timu ya Platinum Stars huu ni mwendelezo wa Simba kujiaandaa na msimu ujao wakiwa kambini nchini Afrika Kusini.

RUVU SHOOTING YAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA LIGI KUU BARA

0

UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa tayari timu imeingia kambni kwa ajili ya kujiaanda na maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23.Makamu Mwenyekiti wa Ruvu Shooting, Ezekiel Mtani amesema kuwa tayari wamewahi kuingia kambini kujenga muunganiko imara."Ligi inakaribia kuanza, tayari tumeanza maandalizi kwa ajili ya kufanya vema msimu ujao tukiwa chini ya Kocha Mkuu, Salum Mayanga," amesema.

MBAO YATAJA SABABU YA KUFANYA KLINIKI KUSAKA WACHEZAJI

0

UONGOZI wa Mbao umesema kuwa sababu kubwa ya kufanya kliniki ya kusaka wachezaji ni kutoa fursa kwa wachezaji wanaoipenda Mbao kuitumikia.Mbao FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Hemed Morroco inaendelea na zoezi la kliniki kwa wachezaji ambalo linafanyika uwanja wa CCM Kirumba.Katibu wa Mbao FC, Daniel Naila amesema kuwa wanaamini kupitia kliniki hiyo watapata wachezaji wenye vipaji."Tunajua kwamba ,Tanzania...