YANGA WATAJA SIKU YA KUREJEA ZAHERA BONGO

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa, Kocha Mkuu Mwinyi Zahera anatarajiwa kujiunga na timu muda wowote kambini Morogoro, kuanzia sasa.Mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kuwa kwa sasa wanaendelea na mazoezi Morogoro kwa kutumia programu za mwalimu Zahera."Kikosi kinafanya mazoezi kwa kutumia programu ya Kocha Mkuu Zahera ambaye anatarajiwa kurejea muda wowote kuanzia sasa," amesema.Zahera yupo nchini Ufarasa ambapo alikwenda...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbel Gazeti la CHAMPIONI Jumatano

LIVERPOOL: TUNAJIPANGA KWA AJILI YA MSIMU UJAO

0

JURGEN Klopp, Meneja wa Liverpool amesema kuwa msimu ujao utakuwa mgumu kwa timu zote kutokana kila mmoja kujipanga.Klopp amesema kuwa msimu uliopita alikwama kubeba ubingwa kutokana na makosa ambayo tuliyafannya mwanzo."Hatukufanya vibaya licha ya kuukosa ubingwa ambao umekwenda kwa Manchester City, wachezaji walipambana ila mwisho wa siku lazima mshindi apatikane."Kwa sasa ninaangalia namna kikosi changu kitakavyokuwa bora na kuleta...

KMC YACHEKELEA KUTUPWA RWANDA KIMATAIFA

0

UONGOZI wa KMC umesema kuwa ushiriki wao wa michuano ya Kagame umewajenga hivyo wamepata uzoefu wa kutosha kwenye michuano ya kimataifa.KMC ilialikwa kwenye michuano ya Kagame iliyofanyika nchini Rwanda na kwenye micuano ya kimataifa mchezo wao wa kwanza watacheza na AS Kigali ya Rwanda.Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema lazima wawatoe kimasmaso watanzania kwa kufanya maajabu."Uzoefu tulioupata kwenye...

MANCHESTER CITY: HATUJAPATA OFA YA BAYERN MUNICH KUMTAKA SANE

0

PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City amesema kuwa hajapata ofa yoyote kutoka kwa Bayern Munich ikimhitaji mchezaji wao Leroy Sane.Munich imeelezwa kuwa inahitaji saini ya winga huyo kwa ajili ya msimu ujao."Bado sijapata taarifa yoyote kutoka kwa Bayern Munich wakihitaji saini ya Sane kama itatokea ni jambo la kuzungumza."kwa sasa ninachoangalia ni maendeleo ya kikosi changu kwa ajili ya...

YANGA: TUPO VIZURI KWA MSIMU UJAO

0

HAFIDH Saleh mratibu wa Yanga amesema kuwa maandalizi yanaendelea vizuri mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao.Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23 pia wanashiriki michuano ya kimataifa."Tumejipanga na kufanya maandalizi makini kwa ajili ya msimu ujao, tuna amini kuwa msimu utakuwa mgumu ndio maana tunajipanga," amesema.

UNAAMBIWA KAMBI YA MORO NI NOMA, SIMBA AFRIKA KUSINI KUMENOGA, KESHO JUMATANO

0

KESHO Championi Jumatano lina habari zote kuhusu kambi ya Yanga Moro na ile ya Simba Afrika Kusini, makala na uchambuzi wa kutosha usikose.

BWALYA ALIYEKUWA ANAWINDWA NA MNYAMA ASAINI EL GOUNA YA MISRI

0

NYOTA wa Nkana FC ya Zambia, Walter Bwalya amejiunga na timu ya El Gouna FC ya nchini Misri.Bwalya alikuwa anatajwa kuwindwa na Simba ili kuziba pengo la Emmanuel Okwi ambaye hajaongezewa mkataba ndani ya kikosi hicho ambacho kimeweka kambi nchini Afrika Kusini.Amesaini kandarasi ya miaka mitatu kwa dau linalotajwa kuwa na thamani ya dola 650,00 sawa na bilioni 1.4...

KAZI KUBWA YA MBELGIJI WA SIMBA IPO HAPA

0

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kina kazi kubwa ya kufanya kutimiza malengo yake kitaifa na kimataifa.Simba kwa sasa ipo kambini nchini Afrika Kusini na imecheza mchezo mmoja wa kirafiki kwa ajili ya kusuka kikosi kipya dhidi ya Orbet Vet na imeshinda kwa mabao 4-0."Ni kazi kubwa na ngumu kuandaa kikosi hasa ukizingatia kwamba...

NYOTA STARS APELEKWA MUHIMBILI

0

MUDATHIR Yahaya nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars' amepelekwa hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi zaidi.Jana Yahaya alikuwa mazoezini alishindwa kufanya kutokana na jeraha alilolipata nchini Misri kwenye michuano ya Afcon.Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije amesema kuwa wameamua kumpeleka Muhimbili ili kumfanyia uchunguzi zaidi."Mudathir alipata majeraha huko Misri...