SIMBA DAY SASA NI AGOSTI 6, KUCHEZA NA MABINGWA WA ZAMBIA
MABINGWA mara sita wa Ligi Kuu ya Zambia na washindi wa Kombe la Washindi Afrika mwaka 1991 Klabu ya Super Dynoms FC itamenyana na Simba siku ya Simba Day.Simba Day ambalo ni tamasha maalumu kwa ajili ya kutambulisha wachezaji wapya pamoja na jezi itafanyika Julai 8 mwaka huu uwanja wa Taifa majira ya saa 11:30 joni.Wiki ya Simba Day...
YANGA YAENDELEA KUSHINDA MECHI ZAKE ZA KIRAFIKI, YATANDIKA MTU 7-0
Yanga imeendelea kushinda mfululizo mechi zake za kurafiki kwa kuitwanga Moro Athletic Academy kwa mabao 7-0.Yanga ipo kambini Morogoro kujiandaa na msimu mpya wa 2019/20.
BOCCO ALIAMSHA AFRIKA KUSINI, MBRAZILI NAYE AANZA KAZI SIMBA IKIMPIGA MTU 4-0
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amedhihirisha makali yake leo ambapo amefunga mabao 2 kwenye ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Orbet TVET.Mchezo wa leo ni wa kwanza kwa Simba wa kirafiki nchini Afrika Kusini.Mabao ya Bocco yamefungwa dakika ya 9, 28 huku bao la tatu likipachikwa na Hassan Dilunga na lile la nne likipachikwa na mbrazil Da Silva dakika...
MENEJA WA JUVENTUS AITAKA SAINI YA BEKI WA SPURS
Maurizio Sarri meneja wa Juventus ameutaka uongozi ufanye jitihada za kuipata saini ya beki wa Totthenham Danny Rose.Bosi huyo mpya wa Juventus ambaye ametokea Chelsea amekubali uwezo wa beki huyo mwenye umri wa miaka 29 ili atue Italia.Spurs kwa sasa wana mkwanja mrefu baada ya kumuuza beki wao mwingine Kieran Trippier ambaye amejiunga na Atletico Madrid kwa dau la...
MGOGORO WA ZIDANE NA BALE KUSHUSHA THAMANI YA MCHEZAJI
MGOGORO unaoendelea kati ya Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane na mchezaji wake Gareth Bale umeelezwa kuwa unaidumisha thamani ya nyota huyo.Zidane hivi karibuni alilipotiwa akimwambia mchezaji wake kuwa haitajiki ndani ya klabu hiyo na anapaswa kuondoka kwani hana nafasi.Bale ambaye inatajwa kuwa kuna timu moja nchini China ambayo inamhitaji na inataka kumfanya awe mchezaji anayelipwa mkwanja mrefu inadaiwa...
WAARABU WA MISRI WAPIDUA MEZA KIBABE MBELE YA SIMBA KWA NYOTA HUYU
KLABU ya Al Ahly ambao ni waarabu wa Misri, imepindua meza kibabe mbele ya Simba baada ya kuweka dau la dola milioni moja zaidi ya dola bilioni mbili ambazo ili kumpata mshambuliaji wa Orlando Pirates Justin Shonga.Kwa mujibu wa magazeti ya Misri SuperKora na Youm7, Al Ahly ipo tayari kutoa dola milioni moja kumpa kandarasi ya miaka mitatu.Shonga mwenye...
WATAU WAPIGWA STOP YANGA MAZIMA
INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga umeamua kuwasimamisha nyota watatu wa kikosi cha kwanza kwa kushindwa kuripoti kambini. Andrew Vincent 'Dante', Juma Abdul na Kelvin Yondani ni wachezaji wa Yanga ambao hawajajiunga na timu kambini Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.Habari zinaeleza kuwa wachezaji hao wanadai stahiki zao jambo ambalo limewakwamisha kufika kambini huku wao wakieleza kuwa sabaabu kubwa...
HIKI HAPA KIKOSI BORA CHA AFCON KWA WACHEZAJI WANAOCHEZA NDANI YA AFRIKA
1. Mohamed El Shenawy (GK) (Misri) 2. Wadji Kechrida (Tunisia)3. Riaan Hanamub (Namibia)4. Ayman Ashraf (Misri)5. Sfiso Hlanti (Zambia)6. Dean Furman (Zambia)7. Tarek Hamed (Misri)8. Ovidy Karuru (Zimbabwe)9. Khama Billiat (Zimbabwe)10. Emmanuel Okwi (Uganda)11. Youcef Belaili (Algeria)
KOCHA STARS: UWEZO WA WACHEZAJI UNAONGEZEKA KILA SIKU
KAIMU Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Ettiene Ndayiragije amesema kuwa uwezo wa wachezaji unaongezeka kila siku kadri wanavyafanya mazoezi.Stars ipo kwenye maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya utakaochezwa Julai 28, Uwanja wa Taifa, saa 10 Jioni."Nawatazama kwa ukaribu wachezaji wote na ninapata muda wa kuzungumza nao kila mmoja jambo ambalo linanipa...
REKODI YA GARETH BALE NDANI YA MADRID TAMU KINOMA
REKODI ya Gareth Bale akiwa ndani ya Real Madrid inavutia, amecheza jumla ya mechi 231 na kupachika mabao 102 huku akitoa pasi za mabao jumla ya 65.Kwa upande wa mataji ametwaa Ligi ya Mabingwa makombe manne sawa na Super Cup huku akibeba La Liga, Copa Del Rey, Supercopa De Espana mojamoja kwa sasa anatakiwa aondoke na bosi wake Zinadine...