KMC: TUPO TAYARI KUPAMBANA KIMATAIFA

0

UONGOZI wa KMC umesema kuwa hauna mashaka na kikosi walichopangiwa nacho kucheza nao kwenye michuano ya kimataifa kwani wana uwezo wa kufanya maajabu.Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa tayari wameanza maandalizi kwa ajili ya michuano ya kimataifa wana imani ya kufanya vizuri."Tumefurahi kuona kwamba tunaanzia Rwanda na AS Kigali, tumeshiriki michuano ya Kagame hivyo tunauzoefu na timu...

DAVID DE GEA ANUKIA KUWA NAHODHA WA UNITED

0

David De Gea anaweza kuwa nahodha wa Manchester United kutokana na moja ya kipengele kilichopo kwenye mkataba wake mpya anaotaka kusaini wa miaka sita ambao utamfanya awe kipa ghali namba moja duniani.Ole Gunnar Solskjaer meneja wa Manchezter United yupo tayari kumkabidhi kitambaa cha unahodha kipa huyo baada ya nahodha wa awali Antonio Valencia kuondoka klabuni msimu uliopita."Nilimpa unahodha kwa...

YANGA: MSIMU UJAO MAMBO NI MOTO

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa maandalizi ya timu yanazidi kupamba moto kwa ajili ya msimu ujao.Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro ikijipanga kwa ajili ya msimu ujao ambao unatarajiwa kuanza Agosti 23.Hafidhi Saleh mratibu wa Yanga amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa ni suala la kusubiri wakati wa ligi kuanza."Kwa sasa maandalizi yanakwenda vizuri mwalimu Noel Mwandila anawaandaa vijana kwa...

NYOTA SABA WA SIMBA KUCHOMOKA LEO KAMBINI

0

NYOTA saba wa timu ya Simba wanatarajiwa kujiunga leo na timu ya Taifa kwa ajili ya kujaanda na michuano ya Chan wakitokea Afrika Kusini.Akizungumza na Saleh Jembe, Kaimu Mkuu wa timu ya Taifa, Ettiene Ndayiragije amesema kuwa wachezaji wa Simba wanatarajiwa kujiunga leo na timu ya Taifa."Wachezaji ambao hawajajiunga na timu ya Taifa watajiunga leo na timu," amesema.Wachezaji ambao...

AZAM FC WASAHAU HABARI ZA KUPOTEZA KOMBE LA KAGAME HESABU ZAO ZIPO HUKU

0

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa.Azam FC imerejea nchini baada ya kushindwa kutetea kombe la Kagame leo inaanza mazoezi ya kujiaandaa na msimu ujao.Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa wamekubali kushindwa kutokana na ushindani."Tumepoteza kombe letu ila tumepambana, kwa sasa ni muda wa kujipanga kwa...

KOCHA STARS: UWEZO WANGU UTAZUNGUMZA UWANJANI

0

KOCHA msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania,'Taifa Stars' Seleman Matola amesema kuwa anastahili kuwa Kocha wa timu ya Taifa Kwa kuwa anauwezo mkubwa.Matola amesema kuwa ameteuliwa kutokana na uwezo alionao hivyo atapambana kufanya makubwa yatakayoonekana ndani ya uwanja."Kocha Mkuu mwenyewe, Ettiene Ndayiragije ndiye ameniteua hivyo kuna kitu amekiona na nitafanya kazi kweli kwani uwezo ninao," amesema.

CAF YATIBUA PROGRAMU YA SIMBA AFRIKA KUSINI

0

PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kutokana na ratiba ya michuano ya Ligi ya Mabingwa kutoka ni lazima afanye mabdiliko kwenye ratiba zake za maandalizi.Ratiba ya michuano ya kimataifa ya awali inaonyesha kuwa Simba itacheza mchezo wake wa awali kati ya Agosti 9/10/11 na timu ya UD DO Songo ya Msumbiji."Mchezo huu ni muhimu sana tunatakiwa kubadili...

NYOTA WA MANCHESTER UNITED ACHEKELEA UZURI WA BONGO

0

RUUD Van Nistelrooy mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi ametembelea hifadhi za mali asili ya Tanzania.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ruud amesema kuwa ni sehemu yenye maajabu na utulivu mwingi anajivunia kufanya utalii ndani ya Taifa la Tanzania.Kwa sasa yupo kwenye ziara Bongo ana rekodi nzuri kwenye maisha ya soka kwani...

MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI

0

MABINGWA wa Ligi Visiwani Zanzibar, KMKM nao wana kibarua cha kukwea pipa kimataifa.  KMKM wataanzia nyumbani dhidi ya Deportivo do 1 Agosto ya Angola kwenye Ligi ya Mabingwa. Malindi FC wao  wataanzia ugenini dhidi ya Mogadishu City ya Somalia kwenye Kombe la Shirikisho.

YANGA KIMATAIFA SAFARI YAO IMEKAA NAMNA HII

0

SAFARI ya Yanga kimataifa baada ya kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita wataanza na  timu ya Township Rollers ya Botswana.Kwa mujibu wa ratiba, mechi za kwanza za raundi ya kwanza zitapigwa kati ya Agosti 9, 10 na 11 huku mechi za marudiano zikipigwa kati ya Agosti 23, 24 na 25.Mechi za raundi ya pili...