BRAZIL YATWAA COPA AMERICA BILA NEYMAR, YAITANDIKA PERU 3-1

0

Brazil imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Copa America kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Peru.Wafungaji ni Everton Soares 15', Gabriel Jesus 45+3' & 70' na Ricjarlison 90' (P). Bao pekee la Peru limefungwa na Paolo Guerrero mnamo dakika ya 44' (P).Brazil wamekipiga na peru bila uwepo wa nyota wao aliyevuliwa ukapteini hivi karibuni Neymar Jr ambaye ni...

KAKOLANYA: SIMBA WENYEWE WATANIPENDA

0

BENO Kakolanya mlinda mlango mpya wa Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kwamba hana mashaka na uwezo wake hivyo mashabiki watampenda.Kakolanya amesema kuwa katika kazi kuna ulazima wa kupata changamoto mpya sina hofu na ushindani wa namba ndani ya Simba."Sina hofu na uwezo wangu na hata ndani ya Simba kwa kuwa najiamini na ninaweza kuleta ushindani, kuhusu...

AZAM FC WAANZA KWA USHINDI KAGAME

0

MABINGWA watetezi wa kombe la Kagame leo wameanza vema kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mukura FC.Bao pekee la ushindi lilifungwa na mshambuliaji Iddy Suleiman 'Naldo' dakika ya 77 lilidumu mpaka mwisho wa mchezo.TP Mazembe ambao nao wanashiriki michuano hiyo wameanza kwa kuambulia kichapo cha bao dhidi ya Rayon Sports.Bao la Rayon Sport lilifungwa dakika ya 4 na...

AIYEE AANZA NA MGUU WA KULIA KMC

0

SALIM Aiyee mshambuliaji mpya wa kikosi cha KMC ameanza kwa kucheka na nyavu baada ya kufunga bao kwenye mchezo wake wa kwanza wa michuano ya kombe la Kagame.Leo KMC wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Atlabara ya Sudan Kusini.Aiyee alianza kupachika bao hilo dakika ya 46 kabla ya wapinzani wao Atlabara kusawazisha bao dakika ya 67.

HAJI MANARA APEWA JUKUMU JIPYA NDANI YA SIMBA

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa umempa kazi maalumu Ofisa Habari wa kikosi hicho kabla ya siku ya Simba day ambayo ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na jezi za Simba. Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa mpango wao ni kuona wanaifanya siku hiyo kiupekee."Simba day ya mwaka huu itakuwa tofauti na nyingine hivyo Haji Manara amepewa...

LIONEL MESSI HANA IMANI NA WAANDAAJI WA COPA AMERICA

0

 LIONEL Messi mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa hana imani na waandaaji wa michuano ya Copa America kwani wanawapendelea waandaaji ambao ni Brazil.Messi alionyeshwa kadi nyekundu kwenye michuano hiyo dakika ya 37 na kumfanya afikishe jumla ya kadi mbili nyekundu akiwa na timu ya Taifa baada ya kusuguana na mchezaji wa Chile Gary Medel kwenye michuano...

RAIS WA SHIRIKISHO LA MISRI AMPIGA CHINI KOCHA MKUU KISHA NAYE ABWAGA MANYANGA

0

BAADA ya timu ya Taifa ya Misri kutolewa hatua ya 16 bora na timu ya Afrika Kusini kwa kufungwa bao 1-0 jana uwanja wa Taifa wa Cairoimeripotiwa kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Misri, Hany Abourida amemtimua kocha Mkuu Javier Aguirre.Bao la ushindi kwa Afrika Kusini lilifungwa na nyota Thembinkosi Lorch lilidumu mpaka mwisho wa mchezo huo uliokuwa...

BREAKING: AMUNIKE APIGWA CHINI STARS, MBADALA WAKE AANZA KUSAKWA

0

Inaelezwa kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuacha na Kocha Emmanuel Amunike aliyekuwa anainoa Taifa Stars.Hatua hiyo imekuja kufuatia kuboronga mechi za mashindano ya AFCON yanayoendelea Misri.Taarifa za ndani zinasema TFF hivi sasa ipo kwenye mchakato wa kumpata Mwalimu mbadala wa muda atakayeinoa Stars kuelekea michuano ya CHAN.

WANYAMA AMKARIBISHA SAMATTA UINGEREZA

0

Kiungo wa Harambee Stars na Tottenham Hotspurs ya Uingereza, Victor Wanyama amemkaribisha rasmi nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta katika Ligi Kuu ya England msimu ujao.Kabla ya nyota huyo wa Spurs kumkaribisha Samatta katika ligi hiyo, tayari baadhi vyombo ya habari vikubwa duniani vimeripoti kuwa nyota huyo anatakiwa na Leicester City, Middlesbrough na Aston Villa huku dau lake likiwa...