MAZITO YAFICHUKA USAJILI WA AJIB SIMBA

0

Meneja wa Ibrahimu Ajib ambaye ni ndugu yake wa damu, Athuman Ajib amesema kuwa ilikuwa ngumu kumshauri Ajib kujiunga na TP Mazembe kutokana na mapenzi yake ndani ya Simba.Ajibu alipata ofa ya kujiunga na TP Mazembe aliigomea kutokana na kusaini kandarasi ya awali ndani ya Simba na kudai kwamba maslahi ya Mazembe yalikuwa finyu.Ajib alisema kuwa alikuwa akipambana mteja...

KATUMBI ACHARUKA KUPANGA MATOKEO AFCON

0

RAIS wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameruka tuhuma za gazeti moja la Madagascar kwamba alimhonga kipa wa Zimbabwe kwenye mechi ya Afcon kuwania kufuzu 16 Bora dhidi ya DR Congo.DR Congo ya Mwinyi Zahera ilishinda mabao 4-0 kwenye mchezo huo na kufuzu jambo ambalo liliibua mijadala mingi.Habari zilimhusisha Katumbi na kipa wa Zimbabwe kwamba amempa mshiko ili alegeze jambo...

WACONGO WAMUONDOA ULIMWENGU KWA WAARABU

0

Imeeleza kuwa Klabu ya aS Vita ya Dr Congo imekomaa na mpango wake wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa JS Saoura ya algeria, Thomas Ulimwengu kwa ajili ya msimu ujao.Saoura ilimsajili Ulimwengu hivi karibuni akitokea katika Klabu ya Al Hilal ya Sudan ambapo awali alikuwa nje kutokana na kuandamwa na majeraha kwa muda mrefu.Taarifa zinadai kuwa licha ya Vita kukomaa...

MASHABIKI WA MISRI BADO HAWAAMINI, MBIO ZA SALAH ZAFIKA UKINGONI

0

MOHAMED Salah mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Misri anayekipiga timu ya Liverpool kwa sasa naye atakuwa ni mtazamaji wa michuano ya Afcon ambayo inaendelea nchini Misri baada ya kushindwa kufurukuta mbele ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini.Mashabiki wengi wa Misri bado hawaamini wanachokiona mbele yao kwamba nao wanabaki kuwa watazamaji kwani walibeba matumaini makubwa ya kushinda mwisho...

SIMBA KUKWEA PIA MPAKA SAUZI KUWEKA KAMBI

0

IMEELEZWA kuwa kambi ya timu ya Simba msimu huu itakuwa nchini Afrika Kusini kuanzia Julai 15.Mtendaji Mkuu wa Simba, Cresentius Magori amesema kuwa mpango wa kuweka kambi ni maalumu kwa ajili ya kukiaanda kikosi vema kwa ajili ya michuano ya kimataifa na Ligi Kuu Bara."Afrika Kusini tunakwenda kuweka kambi, kuanzia Jumatatu wachezaji wanatakiwa kufika kambini na wale wa nje...

MANCHESTER UNITED WAIWEKEA NGUMU INTER MILAN KWA LUKAKU

0

ROMELU Lukaku, staa wa Manchester United anawaniwa na klabu mbili kubwa ambazo zinahitaji kuipata saini yake kwa ajili ya msimu ujao.Juventus na Inter Milan zipo kwenye mapambano kuipata saini ya nyota huyo anayecheza nafasi ya ushambuliaji.United ipo tayari kumuuza Lukaku ila haipo tayari kumtoa kwa mkopo nyota wao huyo ambaye Inter Milan walikuwa wanamtaka kwa mkopo.

RATIBA YA KAGAME LEO, MAKOCHA WOTE KUTUPA KETE YAO YA KWANZA LEO

0

LEO wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kagame inayofanyika nchini Rwanda watakuwa kazini kupeperusha Bendera.KMC watakuwa wa kwanza kurusha kete yao leo majira ya saa 7:00 mchana watamenyana na Atlabara, huu pia ni mchezo wa kwanza kwa kocha mpya Jackson Mayanja.Azam FC ambao ni mabingwa watetezi watarusha kete yao  majira ya saa 9:00 alasiri watamenyana na Mukura, huu utakuwa...

BIASHARA UNITED KUANZA NA UONGOZI

0

UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa kwa sasa unajipanga kufanya uchaguzi ili kupata viongzoi wapya ndani ya timu hiyo.Katibu wa Biashara United, Haji Mtete amesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kuona wanafanikisha lengo la kupata viongozi wapya watakaoongoza timu hiyo kwa muda wa miaka minne."Uchaguzi unatarajiwa kufanyika mwezi Agosti 7 mwaka huu kwa lengo la kupata viongozi wapya,...

USAJILI: MRITHI WA GADIEL MICHAEL YANGA MARCELO ASAINI MIAKA MITATU

0

Mlinzi wa kushoto, Muharami Issa Said amejiunga na kikosi cha Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Malindi fc ya Zanzibar.

NYOTA MWINGINE YANGA ACHOMOLEWA MAZIMA

0

PIUS Buswita mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Yanga ambaye amepigwa chini kwa sasa amewekwa kwenye rada za timu ya Kagera Sugar na Polisi Tanzania.Kagera Sugar chini ya kocha Mecky Maxime kwa sasa inaendelea kujisuka upya ambapo tayari imeanza kazi ya kusajili mashine kali kwa msimu ujao ikiwa ni pamoja na Awesu Awesu, Evarigitius Mujwahuki na imemuongezea mkataba beki...