GADIEL MICHAEL: NASAINI SIMBA JUMLA

0

IMEELEZWA kuwa beki wa Yanga, Gadiel Michael amemalizana na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili kwa ajili ya kukitumikia kikosi hicho msimu ujao.Michael alipishana na Yanga kutokana na kumuwekea dau dogo jambo ambalo limemfanya aamue kujiunga na Simba ili kumfuata rafikiye wa karibu Ibrahim Ajibu.Chanzo cha kuaminika kimeeleza kwamba tayari Gadiel amemalizana na Simba hivyo anachosubiri kwa sasa ni...

BALINYA APEWA DAWA YA KUIMALIZA SIMBA HARAKA

0

Wakati uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Juma Balinya amepewa dawa ya kuitandika Simba kila atakapokuwa akikutana nayo uwanjani.Balinya aliyesajiliwa na Yanga hivi karibuni akitokea Polisi FC ya nchini Uganda, dawa hiyo amepewa na aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ambaye kwa...

MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI

0

MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI

MISRI YATUPWA NJE AFCON KWA KUCHAPWA BAO 1-0 NA AFRIKA KUSINI, LORCH APELEKA MSIBA

0

Game ya AFCON hatua ya 16 bora imekwisha na wenyeji Misri wanatupwa nje ya mashindano kwa bao 1-0 huku Afrika Kusini wakisonga mbele kwenye hatua ya robo fainali.Bao pekee la Afrika Kusini limefungwa na Thembinkosi Lorch mnamo dakika ya 85 ya kipindi cha pili.Misri sasa wanaungana na timu za Cameroon ambao nao leo wamekubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka...

MAGORI AFUNGUKA JUU YA SUALA LA MO KUJIONDOA SIMBA

0

BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni hapo, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa mbioni kung’atuka, Crescentius Magori amefunguka kila kitu.Taarifa za Mo kutaka kuondoka Simba zilianza kusambaa mitandaoni kuanzia Alhamisi lakini hakukuwa na kiongozi yeyote wa timu hiyo aliyeitisha mkutano wa wanahabari kwa ajili ya kuweka wazi...

GADIEL MICHAEL AIBUA JINGINE LA KUSHANGAZA YANGA, SIMBA WATAJWA

0

Inadaiwa kuwa beki wa Yanga, Gadiel Michael juzi jioni amesaini rasmi mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea Simba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Gadiel amesaini mkataba huo wa kukipiga Simba ni baada ya mvutano wa muda mrefu kati yake na mwajili wake wa zamani Yanga katika dau la usajli ambalo ni Shilingi Milioni 60 alizokuwa anazihitaji.Beki...

ZAHERA AJA NA MIKAKATI MIPYA KABAMBE YANGA, TIMU KUWEKA KAMBI MOROGORO

0

Wakati Yanga ikianza maandalizi ya msimu ujao kesho Jumapili, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Mwinyi Zahera amekuja na mkakati mpya kuhakikisha timu hiyo haifungwi mabao mengi msimu ujao.Yanga mpaka sasa imesajili wachezaji 13 wapya na leo Jumapili watakwenda mkoani Morogoro kuanza kambi ya pamoja kujiandaa na msimu mpya.Zahera ambaye kwa sasa yuko mapumzikoni baada ya timu yake ya Taifa...

DUH! BARCELONA WAMFUNGIA VIOO NEYMAR JUMLAJUMLA

0

JOSEP Bartomeu Rais wa Barcelona amesema kuwa klabu yake haina mpango wa kujaribu kupata saini ya kumpata mchezaji Neymar JR kwani Paris Saint Germain hawana mpango wa kumuuza."Najua kwamba Neymar anahitaji kurejea ndani ya kikosi cha Barcelona akitokea PSG lakini tunajua kwamba timu yake haiwezi kumruhusu arejee ndani ya kikosi chetu," amesema.Maneno haya yamemvunja moyo nyota huyo anayekipiga PSG...