FUKUTO LA MO NDANI YA SIMBA LIMEFIKIA HAPA

0

BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni hapo, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa mbioni kung’atuka, Crescentius Magori amefunguka kila kitu.Taarifa za Mo kutaka kuondoka Simba zilianza kusambaa mitandaoni kuanzia Alhamisi lakini hakukuwa na kiongozi yeyote wa timu hiyo aliyeitisha mkutano wa wanahabari kwa ajili ya kuweka wazi nini kinaendelea.Kitendo cha Mo Dewji kuandika...

WACHEZAJI YANGA WACHELEWESHA KUANZA KWA KAMBI

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa wa kuweka kambi upo mikononi mwa wachezaji wa kigeni na ndani hivyo wakifika wote wataanza kambi.Akizungumza na Saleh Jembe, mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kuwa mpango mkubwa ni kwa timu kuanza kambi mapema ila kinachowachelewesha ni wachezaji wa kigeni pamoja na wa ndani ambao bado hawajasawasili."Tayari kwa sasa wachezaji...

KOCHA SIMBA ATAJA KINACHOMFELISHA IBRAHIM AJIBU

0

KOCHA wa zamani wa kikosi cha Simba na Dodoma FC, Jamhuri Khiwelu 'Julio' amesema kuwa nyota mpya wa Simba, Ibrahim Ajbu ana uwezo na kipaji kikubwa kuliko nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta anayekipiga KRC,Genk.Julio amesema kuwa kinachombeba Samatta ni juhudi na kujituma hivyo kama Ajibu atafanya hivyo atakuwa mbali."Huwa ninamwambia mara kwa mara Ajibu kila ninapokutana naye...

NYOTA WA SIMBA KUTIMKIA NAMUNGO FC

0

MOHAMED Rashid mshambuliaji wa Simba inawezekana msimu ujao akakipiga kwenye klabu mpya ya Namungo.Rashid amekuwa hana nafasi kubwa ndani ya KMC baada a mabosi hao kuonyesha dalili za kutaka kuachana naye msimu ujao baada ya kupata washambuliaji wapya.KMC ambayo ipo nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya Kagame imesajili washambuliaji watatu wakali kama Ramadhan Kapela, Vitalis Mayanga na Salim...

PRESHA YA MENEJA MPYA WA CHELSEA LAMPARD IPO NAMNA HII

0

MENEJA mpya wa Chelsea, Frank Lampard amesema kuwa anatambua presha kubwa ya bosi wa kikosi hicho, Roman Abramovich hasa timu inaposhindwa kupata matokeo chanya.Lampard ameajiriwa na Chelsea kwa kandarasi ya miaka mitatu akibeba mikoba ya Maurizo Sarri ambaye ametimkia Juventus.Mpaka sasa Abramovich amefanya kazi na makocha 13 tangu ainunue klabu hiyo mwaka 2003."Nikiwa mchezaji nakumbuka vizuri wakati Abramovich alipotua...

KMC YAPANIA KUFANYA KWELI RWANDA

0

UONGOZI wa KMC umesema kuwa utaitumia michuano ya kombe la Kagame kwa ajili ya kujiaandaa na michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa kwa sasa kikosi kimeweka kambi nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya Kagame ambayo inaanza kutimua vumbi kesho."Tupo sawa na tumejipanga kufanya maajabu kwenye...

YANGA YAPINDUA MEZA USAJILI WA GADIEL

0

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Dk Mshindo Msolla amezungumzia mjadala wa usajili wa beki wa pembeni, Gadiel Michael na kutoa ruhusa ya mchezaji huyo kwenda popote atakapohitaji ikiwemo Simba inayotajwa kuwa mbioni kumsajili lakini beki huyo ni kama amepindua meza kibabe.Kauli hiyo, ameitoa ikiwa ni siku moja tangu Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera kuwazuia mabosi wake kuendelea kumbembeleza...

ASKARI AJIUA KISA MKWEWE

0

MOROGORO: Inasikitisha! Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Setembo, Rajabu Athumani (60), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga, kisa kikidaiwa ni mauaji ya mkwewe, Amani lina habari ya kusikitisha. Tukio hilo lililoacha simanzi kubwa lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa mlinzi huyo Mtaa wa Mafiga A mjini hapa.Baada ya kutokea kwa tukio hilo baya, baadhi ya wananchi walitoa taarifa kwa mwandishi...

AZAM FC: TUNAPAMBANA KWA AJILI YA TAIFA KAGAME

0

KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wachezaji watapambana kupata matokeo chanya kwenye michezo yote ili kurejea na kombe lao la Kagame. Azam kwa sasa ipo nchini Rwanda ambapo imekwenda kushiriki michuano ya Kagame na kesho itashusha kete yake ya kwanza kwa kumenyana na Mukura."Mchezo wetu wa kwanza ni kesho dhidi ya Mukura, hatuwatambui wapinzani wetu ila...

POGBA NOMA, KUPELEKA NYOTA WAWILI NDANI YA UNITED

0

REAL Madrid wajanja sana wameamua kuwapa wachezaji wawili mabosi wa Manchester United ili kuipata saini ya kiungo wao Paul Pogba.Imeelezwa kuwa Madrid kwa sasa inahaha kuipata saini ya nyota huyo ambaye anawindwa pia na klabu yake ya zamani ya Juventus.Madrid wapo tayari kutoa kiasi cha fedha cha pauni milioni 70 pamoja na wachezaji wawili ambao ni Gareth Bale na...