MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

SENEGAL YAKIRI MUZIKI WA UGANDA ULIKUWA WA MOTO

0

LICHA ya kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Afcon nchini Misri, kocha wa Senegal, Aliou Cisse amesema kuwa alikutana na timu ngumu.Bao pekee la ushindi la Senegal lilifungwa na mshambuliaji wa kimataifa anayekipiga Liverpool, Sadio Mane dakika ya 15...

KAGERA SUGAR: MSIMU UJAO TUTATISHA

0

KOCHA wa kikosi cha Kagera Sugar, Meky Maxime amesema kuwa kwa sasa wamejipanga kufanya usajili makini utakaowafanya walete ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara.Msimu wa 2018-19 Kagera Sugar ilinusurika kushuka daraja jambo lililowapa darasa la kutosha na kuwafanya wajipange sawa sawa msimu ujao."Kwa sasa tumejipanga na tumeanza kazi ya kufanya usajili makini ambao utatufanya tulete ushindani msimu ujao, mpaka...

DILI LA AFRIKA KUSINI LAWA GUMU KWA DIDA WA SIMBA

0

DEOGRATIUS Munish ambaye ameachana na Simba baada ya kumaliza kandarasi yake ya mwaka mmoja amesema kuwa kwa sasa bado hajajua ni timu gani ataichezea kutokana na mipango kutokamilika.Dida ambaye alisajiliwa na Simba akitokea timu ya Amatuks ya Afrika Kusini alikuwa na mpango wa kurejea huko ila kwa sasa amesema mambo hayajakaa sawa."Bado sijajua nitachezea timu gani msimu ujao kwani...

MZEE AKILIMALI AMCHANA AJIBU, AMUITA KIRUSI

0

BAADA ya juzi Jumatano, Simba kumtangaza Ibrahim Ajibu kuwa mchezaji wao mpya, Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Ibrahim Akilimali ameibuka na kufunguka kuwa mshambuliaji huyo alikuwa kama kirusi katika timu yao.Ajibu ambaye alijiunga na Yanga msimu wa 2017/18 akitokea Simba, msimu uliopita aliisaidia Yanga kumaliza nafasi ya pili katika Ligi Kuu Bara huku yeye akimaliza kuwa kinara...

MUVI YA SIMBA NA OKWI YAJA NA JINGINE JIPYA

0

Habari za ndani zinasema kwamba Kaizer Chiefs ina asilimia 85 za kumnasa Emmanuel Okwi, lakini Simba wamecharuka na kujipanga kivingine. Simba imeapa kwamba hata kwa kulipa faini ya kuchelewa lazima wahakikishe Okwi anabaki Msimbazi na wataelewana tu ingawa anawapiga chenga.Okwi kwa sasa yupo na Uganda kwenye Afcon na inadaiwa kwamba ameshasaini mkataba wa awali na Kaizer ambayo imeshamsainisha kiungo...

AJIBU KUFURU SIMBA, KULIPWA TSH.MIL 1,250,000 KWA WIKI

0

Lanchi ya juzi haikuwa na raha kwa mashabiki wa Yanga, baada ya Simba kumtambulisha rasmi Ibrahim Ajibu kwamba amerejea Msimbazi.Simba imemfanyia kufuru nahodha huyo wa Yanga ambapo kila sekunde atakayokuwa akipumua hata kama atakuwa amelala nyumbani kwake watamlipa Sh116. Iko hivi dau lake la usajili alilokunjia mfukoni katika mkataba wa miaka miwili ni Sh.mil 80.Mshahara wake kwa mwezi ni...

JESHI LA SIMBA KUTUA KWA MANDELA

0

Kocha wa Simba, Patrick Aussems anatua nchini wiki ijayo na timu inakwenda kambini nchini Afrika Kusini.Habari za uhakika zinasema kwamba, Simba ilikuwa na mpango wa kwenda Ulaya lakini mpaka sasa wengi wanapendekeza Sauzi ndiyo sehemu nzuri na ina vifaa vyote ambavyo vinastahili kwa kambi ya kiwango cha Simba.Katibu wa Simba, Dkt Anorld Kashembe alisema mpango wa kambi yao ni...

KAHATA WA SIMBA AMECHEMSHA

0

Kocha wa Kenya, Sebastian Migne amekiri kwamba staa mpya wa Simba, Francis Kahata hakuwa na bahati kwenye Afcon ya msimu huu.Migne amekiri kwamba hata kwenye mechi na Tanzania hakuwa na wakati mzuri ingawa inawezekana alipania sana. Hata kwenye mechi na Algeria mchezaji huyo alitolewa mapema baada ya kushindwa kuhimili mchezo.Kocha huyo anasema kwamba Kahata ni miongoni mwa mastaa ambao...

ZAHERA ASHINDWE MWENYEWE TU

0

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa kwa asilimia 90 umefanikiwa kukamilisha usajili aliokuwa akiutaka Kocha Mwinyi Zahera baada ya kusajiliwa wachezaji aliowapendekeza.Aidha, kabla ya Zahera kwenda kuitumikia timu yake ya Taifa ya DR Congo katika Michuano ya Afcon 2019, alitoa mapendekezo yake juu ya wachezaji ambao anawahitaji kwa ajili ya msimu ujao jambo ambalo uongozi huo umeeleza kulifanyia...