AJIBU AKATAA JEZI SIMBA

0

AJIBU ameliamsha Msimbazi baada ya kugomea kukabidhiwa jezi namba 23.Namba hiyo 23 ilikuwa inavaliwa na kiungo huyo mtaalam wa assisti, awali akiwa anaichezea Simba kabla ya kutua Yanga msimu wa 2017/2018 kama mchezaji huru.Inasemekana kuwa, Ajibu alishasaini mkataba wa miaka miwili muda mrefu kabla ya kutambulishwa jana wakati wa lanchi baada ya mkataba wake kumalizika rasmi juzi Jumatatu.Kwa mujibu...

YANGA WAMTAJA MBADALA WA GADIEL MICHAEL

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna papara na mchezaji wa kikosi hicho Gadiel Michael ambaye amegoma kusaini ndani ya klabu hiyo.Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla amesema kuwa kwa sasa Yanga imefanya usajili wa maana hivyo hawawezi kusumbuliwa na mchezaji mmoja."Tumefanya usajili makini msimu huu, kama mabeki tunao mtu kama All Sonso na Ally Ally hawa wote wapo...

NAHODHA WA TIMU YA TAIFA AJIVUNIA UWEZO WA WACHEZAJI WENZAKE

0

NAHODHA wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta amesema kuwa licha ya kupoteza michezo yote waliyocheza kwenye michuano ya Afcon bado anajivunia uwezo wa wachezaji wenzake.Stars imetolewa kwenye michuano ya Afcon baada ya kucheza michezo yote mitatu bila kujikusanyia pointi huku ikikubali kufungwa jumla ya mabao nane na kufunga mabao mawili pekee."Haikuwa lengo letu kufanya vibaya, tulipambana kwa kadri ya...

PAUL POGBA AIKAZIA MANCHESTER UNITED, KUOMBA ASEPE ZAKE MSIMU UJAO

0

IMERIPOTIWA kuwa Paul Pogba kiungo wa Manchester United ana mpango wa kuwaomba mabosi zake wampe ruhusa ya kuondoka ndani ya kikosi hicho kabla hawajafanya ziara ya kwenda Australia.Pogba kwa sasa amekuwa hana mpango wa kubaki ndani ya United baada ya kusema kwamba anahitaji kupata changamoto mpya nje ya kikosi hicho.Real Madrid na timu yake ya zamani ya Juventus zote...

WALTER BWALYA AIPA TANO SIMBA KWA KAHATA

0

BAADA ya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba, kiungo Francis Kahata ambaye ametoka timu ya Gormahia mshambuliaji wa Nkana FC, Walter Bwalya amesema kuwa anamtambua vema Kahata amekuja kufanya kazi mashabiki watampenda.Kahata ambaye ni nyota ndani ya kikosi cha timu ya Taifa ya Kenya kwa sasa ni mali ya Simba."Namtambua Kahata ni mtu wa namna gani hivyo...

NYOTA WA STARS WAGOMEWA KUSTAAFU NA MWENYEKITI WA HAMASA KWA MTINDO HUU

0

 PAUL Makonda, Mwenyekiti wa Hamasa wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwenye michuano ya Afcon amesitisha mipango ya wachezaji wakongwe Kelvin Yondani na Erasto Nyoni kustaafu kuichezea timu hiyo.Hiyo, ikiwa ni saa chache mara baada ya wachezaji hao kutangaza kustaafu kuichezea stars wakiwa nchini Misri baada ya timu hiyo kuondolewa hatua ya makundi ya Afcon.Akizungumza na wachezaji...

HIKI NDCHO KILICHOWAPONZA YANGA NA SIMBA KUMKOSA NYOTA WA KAGERA SUGAR ALIYETUA AZAM FC

0

YANGA na Simba zimepigwa bao na Azam FC kuinasa saini ya nyota wa Kagera Sugar, Kassim Khamis ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya mabosi wa Dar es Salaam ambao kwa sasa wapo nchini Rwanda.Yanga na Simba walikuwa vitani kuwania saini ya nyota huyo mwenye uwezo wa kucheka na nyavu kila anapopata nafasi pamoja na uwezo wake wa...

EXCLUSIVE PART ONE: AMUNIKE ALIVYOVURUMISHA MATUSI KWA YONDANI, YEYE AMWAGA CHOZI

0

Na Saleh Ally, CairoUKITAKA kumuuliza kila mmoja kuhusiana na mengi yaliyokuwa yanajitokeza ndani ya kikosi cha timu ya soka ya taifa maarufu kama Taifa Stars wakati ikishiriki michuano ya Afcon, utapata asilimia angalau 15 tu ya majibu sahihi.Kawaida Watanzania tumefundishwa kuficha mambo na kuyazungumza taratibu kama sehemu ya kiburudisho na wakati mwingine huenda jambo fulani kama litawekwa wazi. Basi...

TUNAHITAJI AKINA AZAM FC, KMC KIBAO ILI KUIBADILISHA TANZANIA

0

NA SALEH ALLYKATI ya timu za Tanzania zinazokwenda katika michuano ya Kombe la Kagame ni Azam FC ambao ni mabingwa watetezi pamoja na KMC ya Kinondoni jijini Dar.Michuano hiyo itashirikisha timu za mataifa mbalimbali kama DR Congo, wenyeji Rwanda pamoja na Kenya, Uganda na nyinginezo.Hii ni michuano ya kimataifa ambayo ingekuwa na faida kubwa kwa ukanda dhaifu wa Afrika...

MBWANA SAMATTA MAMBO NI MOTO, OFA TATU ZA MAANA ENGLAND

0

IMEELEZWA kuwa nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ambaye pia ni nahodha, Mbwana Samatta amekuwa dhahabu kwa timu za Ligi Kuu England zikiitaka saini yake.Mpaka sasa tayari imeelezwa kuna ofa tatu mkononi mwake kwa timu kubwa za England.Timu hizo ni pamoja na Westham United, Leicester City na Everton ambazo zinahitaji kumpata mfumania nyavu namba moja ndani...