HIKI NDICHO WANACHOJIVUNIA STARS AFCON

0

KOCHA wa timu ya Taifa, Emmanuel Ammunke amesema kuwa walichokipata kwenye michuano ya Afcon Misri ni uzoefu hivyo watafanya vema wakati mwingine.Tanzania ilishindwa kutinga hatua ya 16 bora baada ya kupoteza michezo yote mitatu hali iliyowafanya warejee nyumbani bila pointi."Ushindani ulikuwa mkubwa na tumefanya kwa kadri ya uwezo wetu, kikubwa ambacho tumekipata ni uzoefu na kujiongezea hali ya kujiamini,"...

ROSE MUHANDO MAJANGA TENA

0

LICHA ya hivi karibuni kusaidiwa na baadhi ya waimbaji wa Injili wa nchini Kenya alipokuwa anaumwa, habari za ndani zinadai kwamba kwa sasa muimbaji wa Injili Bongo, Rose Muhando ameharibu tena nchini humo kutokana na kutapeli baada ya kupewa fedha kwa ajili ya uimbaji, lakini hakutokea eneo la tukio. Chanzo makini kilidai kwamba, baada ya Rose kupona, watu mbalimbali walimpa...

IBRAHIM AJIBU ATOA LA MOYONI KWA YANGA

0

BAADA ya kujiunga na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga, aliyekuwa nahodha wa Yanga amewashukuru mashabiki na viongozi.Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe huu:-"Hakika ilikuwa miaka miwili bora sana kwangu, ndani na nje ya uwanja, Yanga ilikua sehemu ya familia yangu."Nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki kwa kuniamini na...

NYOTA WA BONGO ATIMKIA KENYA

0

NYOTA wa kikosi cha Alliance , Dickson Ambundo amejiunga na klabu ya Gormahia ya Kenya kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Ambundo amejiunga na klabu hiyo kwa mkopo baada ya kumaliza mkataba wake na klabu yake ya Alliance. Kwa msimu wa 2019-20 Ambundo alifunga jumla ya mabao 10 ndani ya TPL.

HII NI NOMA SASA! SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA TISA WA MATAIFA SABA

0

KIKOSI cha Simba ambacho kinaendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019-20 mpaka sasa tayari wamemalizana na wachezaji wa kigeni tisa kutoka mataifa tofauti.Wachezaji hao watatu ni kutoka  Brazili huku wengine wakiwa wanatoka ndani ya bara la Afrika kama ifuatavvyo:-Meddie Kagere mshambuliaji wa Simba ameongeza mkataba wa miaka miwili yeye ni raia wa Rwanda na anakipiga pia...

BAADA YA KUPIGWA MKWARA NA ZAHERA, GADIEL MICHAEL NAYE ATOA MAAGIZO YANGA

0

Beki wa klabu ya Yanga, Gadiel Michael amesema yupo tayari kusaini Yanga mkataba mpya iwapo tu klabu hiyo itafikia dau na masharti ambayo amewapa, imeelezwa.Taarifa imeeleza kuwa Gadiel amedai mpira ndiyo kazi yake hivyo amewapa mapendekezo viongozi wa klabu ya Yanga ili kusaini mkataba mpya.Gadiel amefunguka kwa kusema kuwa, iwapo watashindwa mpaka tarehe 06 July atasaini klabu nyingine ambayo...

ZAHERA AMUWASHIA MOTO GADIEL MICHAEL, ATOA MASHARTI MAZITO KWA VIONGOZI YANGA

0

Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesikia taarifa za beki wake wa pembeni, Gadiel Michael kugomea kusaini mkataba akasonya na kuwaambia viongozi; “Mnambembeleza wa nini?”Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu mmoja wa viongozi wa Yanga kusafiri na mkataba hadi nchini Misri inapofanyika Afcon kwa ajili ya kumsajili beki huyo aliyekuwa Taifa Stars iliyoondolewa katika michuano hiyo.Beki huyo kwa...

STRAIKA SIMBA ASIFIA USAJILI WA BALINYA YANGA

0

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mganda, Hamis Kiiza ameusifu usajili mpya wa mshambuliaji, Juma Balinya aliyetokea Polisi ya Uganda.Kauli hiyo ameitoa hivi karibuni mara baada ya kupata taarifa za usajili wa Balinya aliyesaini mkataba wa miaka miwili ya kukipiga Jangwani.Balinya anatarajiwa kuungana na washambuliaji wengine watatu watakaounda safu mpya ya ushambuliaji itakayoongozwa na Maybin Kalengo, Issa Bigirimana ‘Walcott’ na...

MSUVA NA SAMATTA WATUMA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA

0

NAHODHA wa timu ya taifa, Taifa Star,  Mbwana Samatta na mchezaji mwenzake, Simon Msuva,  kupitia kurasa zao za Instagram,  wameandika ujumbe kuwaomba Watanzania radhi kutokana na vipigo walivyovipata nchini Misri katika fainali za mashindano ya ubingwa wa mataifa ya Afrika (Afcon) yanayoendelea nchini Misri.Katika mchuano huo, timu hiyo ilianza kwa kupoteza  dhidi ya Senegal 2-0,  kisha Kenya 3-2 na...

ZANA BADO YUPO SIMBA, UWEZO WAKE WAMKOSHA MBELGIJI, ISHU YA MKATABA YATAJWA

0

Kama utani vile beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba Zana Coulibaly amerejea Bongo ambapo kwa sasa anakamilisha mazungumzo na mabosi wa Simba kwa ajili ya msimu ujao.Coulibaly ambaye aliletwa kuwa mbadala wa Shomari Kapombe imeelezwa kuwa uwezo wake umemkosha Kocha Mkuu, Patrick Aussems na amependekeza asiachwe msimu ujao.“Coulibaly kwa sasa anakula upepo wa Dar na...