BAADA YA KUMALIZANA NA SIMBA, KAHATA ATOA TAMKO

0

Baada ya kumalizana na Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili, kiungo wa zamani wa Gor Mahia FC, Francis Kahata, amefunguka kuhusiana na Meddie Kagere.Kahata amesema kuwa utakuwa ni wakati mzuri kwake kuwa timu moja na Kagere ambaye walicheza pamoja enzi wakiwa Gor Mahia FC.“Ni raha sana kujiunga tena na Kagere ambaye nilikuwa na wakati mzuri sana nae tulipokuwa...

BAADA YA KUACHANA NA SIMBA, HUKU NDIPO ANAPOELEKEA NIYONZIMA

0

Imeelezwa kuwa nyota wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya AS Vita ya Congo na APR ya Rwanda.Niyonzima amewaaga mashabiki wa Simba na kusema kuwa hivi karibuni atataja timu atakayoenda huku tetesi zikieleza kwamba ana nafasi kubwa ya kutua Congo.Imeelezwa kuwa timu hiyo iliutambua uwezo wa Niyonzima baada ya kucheza na timu ya Simba...

ISHU YA GADIEL MICHAEL YAZIDI KUSHIKA KASI, CHAMPIONI IJUMAA LINA MAJIBU

0

ISHU ya Gadiel Michael kesho itakuwa ndani ya gazeti la CHAMPIONI Ijumaa

SABABU KUBWA ZA KAHATA KUMALIZANA NA SIMBA ZATAJWA

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa sababu kubwa ya Francis Kahata kusajiliwa ni uwezo wake mkubwa ndani ya kikosi cha timu ya Taifa pamoja na timu yake ya Gormahia ya Kenya.Kahata mwenye umri wa miaka 27 leo amemalizana na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.Ataungana na kiungo mwenzake Ibrahim Ajibu ambaye naye amejiunga na Simba kwa kandarasi ya miaka mwili...

YANGA YATOA TAMKO ZITO KUHUSU WACHEZAJI WAKE WANAOWASUMBUA KUSAINI KANDARASI MPYA,

0

MSHINDO Msolla Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa klabu ya Yanga ni kubwa kuliko mchezaji hivyo hawana presha na beki Gadiel Michael ambaye mkataba wake umemalizika ndani ya Yanga.Msolla amesema kuwa endapo beki huyo atawasumbua kusaini watamwacha aendelee na hamsini zake kama ambavyo wamefanya kwa nyota wao Ibrahim Ajibu ambaye amejiunga na timu yake ya zamani ya Simba."Hakuna mchezaji mkubwa...

KMC WAMALIZANA NA MAJEMBE MAWILI YA CONGO

0

BESALA Bokungu mlinzi wa kati kutoka timu ya Groupe Bazano ya Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo amejiunga na KMC kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Bukungu naye tayari amejiunga na kikosi cha KMC ambacho kipo nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza Julai 7-21.Bukungu anaungana na kiungo mkabaji Melly Sivirwa ambaye naye ni raia wa...

MABINGWA WATETEZI WA KAGAME AZAM FC WAWASILI RWANDA

0

KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama nchini Rwanda ambako kimeelekea leo kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.Azam FC wanakwenda kutetea kombe lao ambalo walitwaa msimu uliopita uwanja wa Taifa kwa kuifunga timu ya Simba mabao 2-1.Mbali na Azam FC timu nyingine ambayo imetia timu Rwanda ni KMC ambao nao pia watashiriki michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Julai 7-21.

SIRI IMEVUJA DIMPOZ, ZARI WALALA NYUMBA YA MONDI

0

ACHANA na mapichapicha ya Nairobi nchini Kenya yaliyosambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, taarifa mpya imevuja kwamba, msanii wa Bongo Fleva, Omar Faraj Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mrembo wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamelala katika ile nyumba ya Sauz ambayo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alimpa mrembo huyo aliyezaa naye watoto wawili, twende taratibu! Diamond...