KMC WATIA TIMU RWANDA, TAYARI KUIVAA TP MAZEMBE

0

KIKOSI cha Manispaa ya Kinondoni 'KMC' leo kimeripoti salama nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa wachezaji wamefika salama na wana morali nzuri kwa ajili ya kupambana kwenye michuano hiyo.KMC ipo kundi A ambalo lina TP Mazembe ya Congo, Rayon Sports ya Rwanda na Atlabara ya Sudan Kusini.Michuano hiyo...

WABRAZIL SIMBA WAPIGA TIZI LA SAA MBILI DAR

0

WACHEZAJI watatu raia wa Brazil waliosajiliwa na Simba hivi karibuni, tayari wameanza mazoezi jijini Dar huku kikosi kamili cha Simba kikiwa bado hakijaanza mazoezi.Wachezaji hao ni mshambuliaji Wilker Henrique da Silva, kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira na beki, Tairone Santos da Silva, wamejiunga na Simba hivi karibuni na watatumika kwenye msimu ujao ambao Simba itashiriki mashindano mbalimbali ikiwemo Ligi...

LAMPARD, CHELSEA KIMEELEWEKA

0

FRANK Lampard amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea akichukua mikoba ya Maurizio Sarri aliyejiunga na Juventus.Lampard mwenye umri wa miaka 41 amerejea ndani ya uwanja wa Stamford Bridge baada ya kuondoka miaka mitano iliyopita alipokuwa mchezaji.Chelsea wamempa timu Lampard kutokana na kuaminiwa na bosi wa timu hiyo Roman Abramovich ambaye alikuwa akimkubali tangu...

AZAM FC WALIFUATA KOMBE LAO RWANDA LEO

0

MABINGWA watetezi wa kombe  la Kagame Azam FC leo wameelekea nchini Rwanda na ndege ya Shirika la RwandaAir, ili kutetea taji lao.Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Rwanda kuanzia Julai 6-21 mwaka huu. Azam FC itamenyana na KCCA ya Uganda, Mukura ya Rwanda na Bandari ya Kenya. 

MSHAHARA WA NYOTA MPYA SIMBA NI BALAA, SPOTI XTRA ALHAMISI LINA DATA KAMILI

0

MSHAHARA wa  Ibrahim Ajibu ni balaa, Spoti Xtra waunyaka mwanzo mwisho ni balaa

MO ATOA UJUMBE MZITO

0

MWENYEKITI wa Bodi ya Udhamini Simba, Mohammed Dewji 'Mo' leo ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa twitter ambao umekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.Mo ameandika kwamba : "Watu wenye nia mbaya. kazi yao ni kuvunja tu. Kaa nao mbali, narudia kaa nao mbali sana.

NINJA ALIPWA MSHAHARA WA BILIONI 2 MAREKANI, ATACHEZA NA ZLATAN LA GALAXY

0

IMEFAHAMIKA kuwa beki wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ambaye kwa sasa anakwenda LA Galaxy ya Marekani kwa mkopo, atakuwa akilipwa mshahara wa euro 18,000 (Sh milioni 46.7) kwa wiki, ambazo ni sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 2.2 kwa mwaka.Ninja ambaye amesaini mkataba wa miaka minne katika Klabu ya MFK Vyškov ya Jamhuri ya Czech, anapelekwa Marekani...

EXCLUSIVE: KAHATA RASMI ASAINI SIMBA, AKOMBA SH MIL. 80

0

RASMI kiungo mchezeshaji wa Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars na Klabu ya Gor Mahia, Francis Kahata ni mali ya Simba baada ya kufikia makubaliano ya kusaini mkataba kwa dau la shilingi milioni 80 akiwa nchini Misri.Kahata aliyepo nchini Misri kwenye michuano ya Afcon, anajiunga na Simba akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika ndani ya Gor...

EXCLUSIVE: RASMI YANGA YAMUACHIA GADIEL SIMBA, WALIRUDISHA JEMBE

0

Uongozi wa Yanga umekubali yaishe na kumuachia beki wao wa pembeni, Gadiel Michael kutua Simba kwenye usajili wa msimu ujao baada ya kutofikia muafaka mzuri huku ikifanikisha mipango ya kumuongezea mkataba mpya beki wake, Haji Mwinyi.Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu zianze kuzagaa tetesi za Gadiel kusaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea Simba baada ya mkataba wake na...