OKWI NA SIMBA WATUNISHIANA MISULI, TIMU ILIYO KARIBU KUMALIZANA NAYE YATAJWA

0

Mitandao na Magazeti ya kuaminika ya Afrika Kusini yamesema uwezekano wa Emmanuel Okwi kusaini Kaizer Chiefs ni asilimia 85, lakini Simba wamedai haendi kokote.Okwi mwenyewe ameiambia televisheni ya Afrika Kusini ya SABC kwamba anaweza kucheza Sauzi au nje ya hapo lakini ataamua baada ya Afcon kumalizika.Habari zinasema kwamba Kaizer ambayo tayari imemsainisha kiungo wa Simba, James Kotei imepania kumshusha...

KIUNGO SIMBA AMWAGIA SIFA USAJILI WA SHIKALO YANGA

0

Kiungo wa zamani wa Simba Mkenya, Jerry Santo ameonyesha hisia zake kwa Yanga juu ya usajili wa kipa, Farouk Shikalo.Kwa mujibu wa gazeti la Spoti Xtra, Santo alisema kuwa Yanga imepata bonge la kipa ambaye kamwe wapenzi na mashabiki wa timu hiyo hawatajutia mamilioni yao ya fedha waliyoyatoa kumsajili kipa huyo.Alisema mapungufu yote ambayo msimu uliopita yalijitokeza katika eneo...

MAJEMBE MAPYA YANGA KUTUA LEO DAR

0

Uongozi wa Yanga chini Mwenyekiti wake DK Mshindo Msolla unaanza kuwapokea nyota wake wapya wa kigeni leo tayari kwa maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika.Yanga chini ya kocha Mkongoman, Mwinyi Zahera amefanya mabadiliko katika kikosi chake kwa upande wa nyota wa kimataifa kwa lengo la kuongeza ushindani.Wachezaji hao wataanza kupokelewa kesho na...

INSTAGRAM, FACEBOOK NA WHATSAPP ZAKUMBWA NA TATIZO DUNIA NZIMA

0

MITANDAO maarufu duniani ya Instagram na Facebook na WhatsApp imekumbwa na tatizo la kuwa chini dunia nzima ambapo baadhi ya watumiaji wameeleza kushindwa kupakia picha, hukuwa wengine wakisema hawawezi kuperuzi picha.Wamiliki wa mitandao hiyo bado hawajatoa taarifa rasmi juu kuhusu chanzo cha Matatizo hayo, huku watumiaji wengi duniani wakilalamika Kutokana na matatizo hayo.

WALTER BWALYA : NIPO TAYARI KUSAINI SIMBA

0

WALTER Bwalya mshambuliaji wa Nkana FC ya Zambia amesema kuwa yupo tayari kusaini Simba iwapo watamhtaji.Bwalya amekuwa akihusishwa kujiunga na Simba na kuna taarifa kwamba amewaaga wachezaji wenzake kwamba anakuja Bongo kujiunga na Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara."Sijafanya mazungumzo na Simba mpaka sasa na sijui kama wao wanahitaji huduma yangu, natambua kwamba Simba ni timu kubwa lakini hakuna...

MAALIM BUSUNGU: LIKIJA DILI KUBWA NASAINI

0

MAALIM Busungu mshambuliaji wa zamani wa timu ya Lipuli amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kurejea kucheza mpira iwapo timu itatokea timu itakayompa dau la maana.Busungu amesema kuwa kwa sasa yupo Dodoma akiendelea na shughuli za kilimo na hajaacha mpira kwa kuwa ndio kazi yake."Siwezi kuacha kucheza mpira kwa kuwa ni kazi yangu, kwa sasa nimepumzika huku Dodoma naendelea...

RUVU SHOOTING YAGOMEA WACHEZAJI WA KIGENI

0

UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa sasa hauna mpango wa kusajili wachezaji kutoka nje ya nchi kutokana na kuamini uwezo wa wachezaji wa ndani.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa  klabu haina hesabu za kusajili nyota wa kigeni."Kwenye klabu yetu haitatokea tukasajili wachezaji wa kigeni, sura zao itakuwa ni ngumu kuonekana kwetu...

NYOTA WA MBAO FC ATIMKIA KAGERA SUGAR

0

EVARIGITIUS Mujahukwi aliyekuwa mshambuliaji wa Mbao FC yenye maskani yake Mwanza amejiunga na klabu ya Kagera Sugar.Kagera Sugar imenusurika kushuka Daraja msimu wa mwaka 2018-19 baada ya kuwa na matokeo ya kusuasua hali iliyoifanya ichezemchezo wa PlayOff na Pamba na kushinda kwa mabao 2.Akizungumza na Saleh Jembe, Mujahukwi amesema kuwa mchezaji hachagui kambi hivyo msimu ujao atakuwa kwenye changamoto...