HUU SASA NI MSALA ZAIDI, NYOTA WAWILI TEGEMEO KUIKOSA ALGERIA JUMATATU – VIDEO

0

Viungo nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mudathir Yahya na Erasto Nyoni hawatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwenye mechi ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) mbele ya Algeria itakayopigwa julai Mosi majira ya saa 4 usiku.Nyota hao watakosa mechi hiyo ya Stars ya mwisho katika Afcon mbele ya Algeria inayoongozwa na kiungo wa Manchester...

AKIWA BADO YUKO MISRI, ZAHERA ATOA MAAGIZO YANGA

0

Uongozi wa Yanga umetaja sababu ya kuwahi kuanza maandalizi ya kikosi chao kuwa ni idadi kubwa ya wachezaji wapya waliowasajili katika kuisuka timu hiyo ili iwe tishio msimu ujao.Yanga hadi hivi sasa tayari imefanikiwa kuwasajili wachezaji kumi ambao ni Abdulaziz Makame, Mapinduzi Balama, Ally Ally, Issa Bigirimana ‘Walcott’, Patrick Sibomana, Sadney Urikhob, Maybin Kalengo, Juma Balinya, Lamine Moro na...

TAIFA STARS YAMWEKA NJIA PANDA TANASHA

0

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imemuweka njia panda mrembo wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ashindwe kujua asimame upande gani kati ya Taifa Stars na timu ya nchini kwao, Harambee Stars.Kwa mujibu wa chambuzi mbalimbali zilizofanywa na mitandao tofauti ya nchini Kenya, presha ya Tanasha itakuwa juu kabla na hata baada ya mechi iliyochezwa usiku...

KAPOMBE ABEBA MILIONI 70 SIMBA

0

Imefahamika kuwa beki kiraka wa Simba, Shomari Kapombe amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga Msimbazi kwa dau la Shilingi Milioni 70.Kapombe ni kati ya wachezaji sita walioongezewa mikataba yao hivi karibuni baada ya kumalizika wengine ni John Bocco, Erasto Nyoni, Aishi Manula, Meddie Kagere na Clatous Chama.Simba, pia imewasajili wachezaji wapya ambao ni Sharaf Eldin Shiboub, Ali...

SIMBA MAMBO NI MOTO, NYOTA WANNE WAJIONDOA

0

BAADA ya James Kotei kusepa mazima Simba na kutimkia kikosi cha Kaizer Chief ya Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka mitatu mambo yamezidi kupamba moto Simba.Mlinda mlango namba mbili wa kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Deogratius Munish 'Dida' ametoa mkono wa kwa heri kwa mashabiki wa Simba.Dida alisajiliwa na Simba kwa kandarasi ya mwaka mmoja tayari mkataba...

KINDA WA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND APIGWA PINI MIAKA MITANO UNITED

0

MANCHESTER United imekamilisha dili la kinda Aaron Wan-Bissaka kwa dau la Euro millioni 50.Kinda huyo wa timu ya Taifa ya England mwenye umri wa miaka 21 amesaini dili hilo na atalipwa mshahara wa Euro 80,000 kwa wiki.Amesaini kandarasi ya miaka mitano, mkataba wake utameguka 2024 na kuna kipengele cha kuongeza muda na mkwanja iwapo ataonyesha makeke kwa kutimiza vipengele vya kwenye mkataba vinavyozungumzia uwezo...

EMMANUEL OKWI AIVURUGA SIMBA

0

NYOTA wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi ambaye kwa sasa anazidi kuwa mtamu kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri amewavuruga mabosi wa Simba baada ya kutoweka wazi hatma yake ya kurejea Simba.Okwi mpaka sasa kwenye michezo miwili ya Afcon ambayo Uganda wamecheza dhidi ya Congo pamoja na Zimbabwe amefunga mabao mawili na kuibuka mchezaji bora kwenye mchezo mmoja...