MWANAFUNZI SEKONDARI AFANYA MTIHANI WA TAIFA AKIWA LEBA

0

ALMAZ  DERESE  (21), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari nchini Ethiopia amefanya mitihani (Kiingereza, Amharic na Hisabati) akiwa hospitali dakika 30 baada ya kujifungua, Juni 10 mwaka huu.Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la Uingereza (BBC), Almaz alitegemea kufanya mitihani yake kabla ya kujifungua, lakini iliahirishwa kutokana na mfungo wa Ramadhan.Mwanafunzi huyo hakutaka kusubiri kufanya mitihani hiyo mwaka ujao, hivyo...

HAKIKA YANGA YA MSIMU UJAO NI MOTO, ZAHERA AFUATA KIBOKO YA MANULA MISRI

0

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesitisha usajili wa wachezaji wa kigeni na nafasi zilizobaki atachukua wa fainali za Afrika nchini Misri.Yanga hadi hivi sasa tayari wamekamilisha usajili wa wachezaji wa kigeni nane ambao ni Lamine Moro, Patrick Sibomana, Issa Birigimana, Sadney Urikhob, Mustapha Suleyman, Maybin Kalengo, Farouq Shikhalo na Papy Tshishimbi aliyeongezewa mkataba wa miaka miwili.Akizungumza na...

KOTEI BYEBYE SIMBA, KAIZER CHIEFS WATOA TAMKO JUU YAKE

0

Imeripotiwa kuwa miamba wa Afrika Kusini Kaizer Chiefs wapo kwenye mipango ya kumsajili kiungo wa Simba James Kotei ambaye ni raia wa Ghana.Kwa mujibu wa mtandao wa Ghana Soccernet umesema Kaizer Chiefs wameonesha kuvutiwa na Mghana huyo anayecheza nafasi ya kiungo kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu nchini humo katika msimu wa 2019/20.Kaizer maarufu kama 'The Amakhosi' wamekuwa wakimfuatilia...

OKWI, NIYONZIMA CHUPUCHUPU SIMBA

0

SIMBA imebadili gia angani baada ya kuachana na uamuzi wao wa kuwapiga chini Haruna Niyonzima, Emanuel Okwi na James Kotei.Habari za ndani zinasema kwamba Kocha Patrick Aussems ambaye kwa sasa yupo kwao akila bata, alipendekeza waachwe wachezaji sita wa kigeni hao hapo juu wakiwemo.Lakini kutokana na mashindano ya Caf kuwa karibu na usajili ukitakiwa mapema viongozi wamemshauri na sasa...

Etienne kuiongoza Azam Fc msimu ujao

0

Kama tulivyoripoti hapo awali kuhusu safari ya Etienne Ndayiragije kutoka KMC kwenda Azam Fc, hatimaye leo imetimia.Kocha huyo aliyewahi kufanya vizuri na Vital’o ya Burundi, na pia kuiwezesha KMC kumaliza nafasi ya nne na kupata nafasi ya kucheza Shirikisho Adrika msimu ujao, amesaini Mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha klabu ya Azam Fc.Hivyo, Etienne atakuwa na Azam...

MAMA ASITISHA MKATABA WA AJIBU SIMBA, AMBAKISHA YANGA FC

0

UONGOZI wa Yanga upo kwenye taratibu za mwisho za kumbakisha kiungo wake mshambuliaji, Ibrahim Ajibu huku mama yake akihusishwa.Ajibu anaelezwa kumalizana na Simba akisaini dau la Shilingi Milioni 100 na tayari ametanguliziwa kishika uchumba cha Shilingi Milioni 20 ili asaini mkataba miaka miwili.Akizungumza na Championi Jumatanio, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela alisema kuwa wapo kwenye taratibu za mwisho...

MOURINHO ANUKIA KUREJEA CHELSEA

0

IMEELEZWA kuwa vuguvugu la kumtafuta meneja ndani ya kikosi cha Chelsea kwa sasa linamhusisha Jose Mourinho ambaye amewahi kukinoa kikosi hicho kwa mafanikio kabla ya kupigwa chini.Kwa sasa Chelsea wanatafuta meneja kutokana na Maurizio Sarri kuhusishwa kujiunga na Juventus.Menaja anayehitajika ni yule ambaye atakuwa na uhakika wa kukibakisha kikosi hicho ndani ya nne bora kwenye Ligi ya England licha...

RASMI WACHEZAJI WATATU WAPIGWA PINI SIMBA

0

ERASTO Nyoni, beki kiraka wa Simba rasmi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo.Nyoni anakuwa ni mchezaji wa tatu kwa Simba kutangazwa kwamba ameongeza mkataba wa kuitumikia klabu hiyo ambayo maskani yake yapo mitaa ya Msimbazi, Dar.Wachezaji wengine ni pamoja na John Bocco ambaye ameongeza mkataba wa miaka miwili pamoja na mlinda mlango Aishi Manula ambaye ameongeza...

KILICHOMG’OA NDAYIRAGIJE KMC MPAKA KUTUA AZAM FC CHATAJWA

0

UONGOZI wa Azam FC leo umemtangaza rasmi kocha Etienne Ndayiragije  aliyekuwa KMC kuwa kocha wao mpya kwa msimu wa 2019/20.Akizungumza mara baada ya kutambulishwa, Ndayiragije amesema kuwa sababu kubwa iliyomuondoa KMC ni maamuzi yake binafsi pamoja na maisha ya soka kutokuwa ya kudumu sehemu moja."Nimefanya kazi kwa ukaribu na KMC, ni watu wangu wa karibu sina tatizo nao ila maisha...

YANGA YAFANYA MAAMUZI MENGINE KUHUSU AJIBU

0

meelezwa kuwa uongozi wa Yanga umeamua kubadili gia angani kwa kuanza mazungumzo ya kumuogezea mkataba kiungo wao Ibrahim Ajibu ambaye mkataba wake umememalizika ndani ya Yanga.Taarifa imeeleza kuwa kwa sasa Ajibu yupo kwenye mazungumzo na Yanga ili kuona namna gani atarejea ambapo viongozi wamekuja na gia mbadala kwa kuifuata familia ya Ajibu.Taarifa zimeeleza kwamba baada ya kuona Ajibu amegomea...