AISHI MANULA APIGWA PINI RASMI MIAKA MITATU

0

MLINDA mlango wa Simba, Aishi Manula ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Kariakoo, Msimbazi.Manula anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa rasmi kuongeza mkataba ndani ya klabu hiyo baada ya jana mchezaji John Bocco kutangazwa rasmi kwamba ameshamalizana na klabu hiyo kwa kuongeza mkataba wa maika miwili.Kwa sasa Manula yupo nchini Misri akiwa...

Hakuna uhakika wa Zana

0

Hakuna uhakika wa ZanaSimba yakanusha kuwatema Zana na KwasiBocco ni mchezaji wa Simba na siyo Polikwane FC.Aussems anapowakataa Kotei, Niyonzima na kumkubali Zana ni matokeo niliyotarajiBaada ya Bocco, Simba kutangaza mwingine leo!Kandanda inatambua kuwa kuna uwezekano mkubwa sana beki wa kulia wa Simba Sc aliyekuja kuziba nafasi ya Shomari Kapombe, hatarudi tena.Zana Coulibaly aliaminika kuwa ni mbadala...

LIPULI YAMCHUNIA MATOLA, KAMBI YAO YAVUNJWA KIMAAJABU

0

KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa mpaka sasa hajaitwa mezani na uongozi wa Lipuli kujadili hatma ya mkataba wake pamoja na mipango ya msimu ujao.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa kambi yao baada ya ligi kuisha pamoja na kumaliza fainali ya kombe la Shirikisho ilivunjwa kwa mtindo wa maajabu."Kiukweli namna kambi ilivyovunjwa haikuwa vizuri kwani hakuna mchezaji...

ISSU YA BOCCO WA SIMBA KUSAINI TIMU MBILI IPO NAMNA HII

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa klabu ya Polokwane FC ya nchini Afrika Kusini imekiuka makubaliano ya FIFA kwa kudai mchezaji John Bocco ni mali yao.Jana Simba walitoa taarifa rasmi kuhusu kumuongezea kandarasi ya miaka miwili nahodha wa kikosi hicho John Bocco ghafla wameibuka viongozi wa timu ya Polokwane wakidai mchezaji ni wao.Polokwane wamedai kwamba Bocco alisaini mkataba wa miaka...

MKALI WA MIASISTI KUTUA MANCHESTER UNITED

0

IMERIPOTIWA kwamba Manchester United wana mpango wa kumsainisha kwa dau la Euro 70 milioni, kiungo mshambuliaji wa Sporting Lisbon, Bruno Fernandes. United wanashindana na wapinzani wao Manchester City kuipata saini ya nyota huyo mwenye miaka 24 ambaye ni mkali wa assisti. United tayari wameshafanya mazungumzo na uongozi wa Sporting wakiwa na ombi maalumu kumpata mchezaji huyo haraka iwezekanavyo ili atue Old...

Baada ya Bocco, Simba kutangaza mwingine leo!

0

Baada ya jana Simba Sc kutangaza kumuongezea mkataba John Bocco, leo hii itatangaza mchezaji mwingine tena waliomsajili. Akizungumza na mtandao huu mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Bwana Magori amedai kuwa leo kutakuwepo na tangazo jipya la mchezaji.” Watu wakae kwenye mitandao ya kijamii yote ya Simba, Twitter, Instagram kuna mwingine atatangazwa leo”- alidai MagoriThe post Baada ya...

SIMBA, WALTER BWALYA MAMBO SAFI

0

STRAIKA namba moja wa Nkana ya Zambia, Walter Bwalya ameweka wazi kwamba amepokea ofa ya Simba na Sportif Sfaxien ya Tunisia.Mchezaji huyo mwenye asili ya DR Congo amesema kwamba bado wako kwenye majadiliano ambayo yanakwenda vizuri na huenda wakakamilishana muda wowote.Mchezaji huyo ambaye ni mara ya kwanza kuitaja Simba kwenye mahojiano yake, amesema kwamba viongozi wa Wekundu hao wamemuonyesha...

GARI LA BIA LAIBIWA

0

MAMTONI kweli kuna mambo tena si madogo! Kampuni moja ya bia ijulikanayo kama Unknown Brewery imeibiwa gari lake la bia na kutoa ofa ya bia za bure kwa atakayelirudisha.Kwa kutumia kamera maalum za CCTV, kampuni hiyo ilipoteza gari lake ambalo lilikuwa limebeba bia na baada ya kupita dakika 42 waliliona kwenye kamera likiwa limeshikiliwa na vijana watatu eneo la...

AZAM FC SIO WATU WAZURI, WAMETWAA MAKOMBE MAWILI MBELE YA SIMBA

0

KIKOSI cha mabingwa wa Afrika mashariki na Kati, Azam FC ambao ni  watetezi wa kombe la Kagame msimu wa mwaka 2018/19 mambo yao yalikuwa moto kwani wameweza kutwaa makombe matatu kati ya manne ambayo wameshiriki.Ni kombe moja tu Azam FC wamelikosa msimu huu ambalo ni kombe la Ligi Kuu Bara wameishia nafasi ya tatu huku mabingwa wakiwa ni Simba.Pia...

KUMEKUCHA MWADUI FC, KUSUKA KIKOSI KIPYA CHA KUTISHA

0

UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa kwa sasa hesabu zao ni kusuka kikosi kipya kitakacholeta ushindani mkali msimu ujao baada ya kubaki kwenye Ligi Kuu Bara. Akizungumza na Salehe Jembe, Katibu wa Mwadui, Ramadhan Kilao amesema kuwa baada ya kubaki kwenye ligi mpango wa kwanza ni kusuka kikosi upya."Tumenusurika kushuka daraja kutokana na kushindwa kumudu ushindani kwa msimu uliopita,...