SINGIDA UNITED YAWATOA HOFU MASHABIKI WAO KUHUSU ISHU YA USAJILI KWA FURSA

0

UONGOZI wa Singida United, umesama kuwa kufanya usajili kwa mtindo wa kipekee kwa kutoa fursa kwa wenye vipaji kujitokeza huku dozi yao ikiwa ni asubuhi na jioni haina maana kwamba hawatasajili kiufundi.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Singida United, Cales Katemana amesema kuwa mashabiki wasiwe na hofu benchi la ufundi chini ya Felix Minziro wapo makini hivyo kutangaza...

ALIYEWAHI KUWA RPC AJINYONGA HADI KUFA ZANZIBAR

0

Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, DCP Aziz Juma Mohammed (pichani), amekutwa amejinyonga nje ya nyumba yake, Kibweni, Unguja, usiku wa kuamkia leo. Sababu za kujinyonga bado hazijafahamika na mwili wa marehemu upo Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kwa uchunguzi.16/7/2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimpandisha cheo kutoka cheo cha...

MWADUI FC: TUMEPATA TAABU SANA MSIMU HUU

0

UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa wachezaji wote walikuwa na wazo moja kichwani walipoingia uwanjani hali iliyowasaidia kupata matokeo chanya mbele ya wapinzani wao Geita FC mchezo wa Playoff uliochezwa uwanja wa Mwadui.Akizungumza na Saleh Jembe, Katibu wa Mwadui, Ramadhan Kilao amesema kuwa ulikuwa ni mchezo wa jasho na damu na wachezaji waliambiwa ni lazmia watimize majukumu yao ipasavyo...

KILICHOWABAKIZA NDANI YA TPL WABABE WA SIMBA CHATAJWA

0

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa aliwaambia vijana wake watulie kwani mchezo ulikuwa mkononi mwao na kubaki kwenye ligi ilikuwa ni lazima hali iliyowafanya washinde mbele ya Pamba FC kwa mabao 2-0 mchezo wa Playoff.Akizungumza na Salehe Jembe, Maxime amesema kuwa walijipanga kiasi cha kutosha kupata ushindi hali iliyowarahisishia njia ya kupenya."Tulicheza nao mchezo wa kwanza...

KIPI HASA KINAKUUMIZA KWA AJIBU NA JONAS MKUDE?

0

Na Saleh AllyMIAKA mitatu iliyopita wakati kikosi cha Taifa Stars kambini nchini Uturuki, Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa alilalamika kuhusiana na wachezaji wavivu wa mazoezi. Kati ya aliowataja alikuwa ni Ibrahim Ajibu na Abdi Banda.Mkwasa alimueleza Banda mbele yetu tuliokuwa mazoezini katika kambi katika Mji wa Kartepe, Uturuki kwamba kama atamuita tena akaumia wakati wa mazoezi ya kupima utimamu...

Yanga nayo yaikimbia As Vita, yajitoa Kagame

0

Juzi Simba Sc ilitoa taarifa ya kujiondoa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika mashariki na Kati (Kagame Cup). Leo hii imetoka barua ya Yanga kujitoa katika mashindano hayo.Yanga imetoa sababu nyingi za wao kujitoa katika mashindano hayo ambayo yanatarijiwa kuanza mwezi wa 7 mwaka huu, sababu ambazo zimeifanya Yanga kujitoa ni zifuatazo.-Wachezaji wengi wa Yanga kumaliza mikataba...

YANGA YAJIONDOA KAGAME

0

Klabu ya yanga imejiondoa rasmi kwenye michuano ya Kagame CUP ambayo inatarajiwa kuanza hivi karibuni huko Rwanda.

MFAHAMU VIZURI MAYBIN KALENGO, MTAMBO MPYA WA MABAO YANGA – VIDEO

0

Mfahamu vizuri mchezaji Maybin Kalengo aliyetajwa kumalizana na Yanga hapa.

BWALYA AITAMANI VIBAYA SIMBA – VIDEO

0

Taarifa zilizopo zinasema kuwa mchezaji Walter Bwalya kutoka Nkana Red Devils ya Zambia ameipa nafasi ya kwanza Simba kumalizana endapo watafikia makubaliano ya dau la usajili na mkataba.