BAADA YA KUIREJESHA AZAM KIMATAIFA, CHIRWA AJISOGEZA YANGA

0

STRAIKA anayepambana kwa udi na uvumba arudishwe Yanga, Obrey Chirwa juzi Jumamosi aliipa Azam tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika.Chirwa amewaambia marafiki zake kwamba ana hamu sana ya kurudi Yanga lakini Spoti Xtra linajua kwamba Mwinyi Zahera amewaambia viongozi ; “Achaneni nae…mkaushieni.”Azam waliifunga Lipuli FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya FA uliopigwa jana kwenye Uwanja wa...

NDEMLA: NITASAINI YANGA

0

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Simba, Said Ndemla amesema kuwa anahitaji kupata changamoto mpya msimu ujao hivyo kwa sasa anafikiria kwenda kucheza nje ya nchi msimu ujao ikishindikana atasaini hata Yanga.Ndemla msimu uliopita amekuwa na changamoto ya kupata namba ndani ya kikosi kilichotwaa ubingwa kwa mwaka 2018/19 hali iliyofanya asionyeshe yale makeke waliyozoea mashabiki."Nina mpango wa kwenda kucheza nje...

CAF YAITISHA KIKAO CHA DHARULA

0

Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika CAF, Ahmad Ahmad ameitisha kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji ya shirikisho hilo kufuatia sintofahamu katika mchezo wa pili wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika. Mei 31 nchini Tunisia kati ya wenyeji Esperance de Tunis na Wydad Casablanca ya Morocco mchezo uliisha kwa sintofahamu kufuatia klabu ya Wydad kugomea kuendelea na mchezo...

LIPULI YAFICHUA KILICHOWAPONZA MBELE YA AZAM FC

0

KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa kilichowaponza wakapoteza mchezo wao wa fainali mbele ya Azam FC jana uwanja wa Ilulu ni kushindwa kutumia nafasi ambazo walizipata kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.Lipuli ilikubali kupoteza dakika ya 64 baada ya mlinda mlango wa Azam FC, Razack Abarola kupiga pasi ndefu iliyomkuta Obrey Chirwa aliyemshinda beki wa Lipuli Haruna...

KINDOKI WA YANGA KUIBUKIA TIMU HII TPL

0

IMEELEZWA kuwa mlinda mlango namba moja wa kikosi cha Yanga, Klaus Kindoki anawindwa na klabu ya Singida United ili kuongeza nguvu upande wa ulinzi msimu ujao.Kindoki raia wa Congo hajawa na msimu mzuri kwenye kikosi hicho kutokana na kufanya makosa mengi ya kiufundi hali iliyosababisha kuwe na taarifa kwamba huenda msimu huu klabu hiyo ikaachana na mlinda mlango huyo...

WAFAHAMU ZABRON SINGERS, WAIMBAJI WA MKONO WA BWANA WANAOFANANISHWA NA KWETU PAZURI

0

IMEKUWA kawaida kwenye mitandao ya kijamii, hasa kurasa za Instagram ama kwenye makundi ya WhatsApp kusambaza kipande cha wimbo wa  Mkono wa Bwana pindi mambo yanapokuwa tofauti.Kwa mfano kwa upande wa michezo siku ambayo timu iliyokuwa haijapewa nafasi ya kushinda ikipata matokeo mashabiki wa timu hiyo husambaza kwa kasi kipande cha wimbo huo kujipa moyo.Wengi wanautambua wimbo na kuwafananisha...