GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO, YANGA YATIKISA BALAA!!

0

Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatano

EXCLUSIVE: YANGA YAMALIZANA NA KIFAA KIPYAA!!

0

Klabu ya Yanga imemalizana rasmi na Mlinda Mlango aliyekuwa anaichezea Mbao FC, Metacha Mnata.Usajili huo umekuja baada ya makubaliano ya pande zote mbili kati ya mchezaji na klabu.Mnata alianza kuhusishwa kutua Yanga kwa muda mrefu na hatimaye usajili wake umekamilika rasmi.Kinachosubiriwa hivi sasa ni kipa huyo kuungana na wachezaji wenzake huko Morogoro ambapo kikosi kimeweka kambi kujiandaa na msimu...

MECHI TANO ZA MWANZO KWA YANGA KUNAKO LIGI KUU BARA, WAMO COASTAL UNION

0

Mechi tano za mwanzo kwa Yanga pamoja na Simba hizi hapa

HAI YAZIDI KUWA MBAYA MAN UNITED

0

Wakala wa Kiungo wa Manchester United Paul Pogba anaamini "kutafikiwa suluhisho la kuridhisha hivi karibuni kwa pande zote" katika kuamua mustakabali wa mchezaji huyo.Ijumaa iliyopita, ajenti Mino Raiola taliliambia gazeti la The Times kuwa kiungo huyo mwenye miaka 26 anataka kuhama Manchester United.Pogba, ambaye yupo katika ziara ya kabla ya msimu na klabu ya Man United katika nchi za...

SABABU YA AZAM FC KUPOTEZA LEO MBELE YA KCCA HII HAPA

0

KOCHA msaidizi wa timu ya Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wamepoteza mchezo wa leo kutokana na mchanganyiko wa wachezaji wapya na wazamani.Akizungumza na Saleh Jembe, Cheche amesema kuwa haina tatizo kupoteza mchezo wa leo mbele ya KCCA kwa kufungwa bao 1-0 kwani ni sehemu ya mchezo."Tumepambana ila haikuwa bahati yetu kwani wachezaji wetu bado wana mchanganyiko kuna wale...

MAKATA ALIYEZIPANDISHA ALLIANCE FC NA POLISI TANZANIA APEWA TIMU YA DODOMA

0

MBWANA Makata ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Dodoma FC inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza.Godwin Kunambi ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma amemtambulisha Kocha huyo na kusema kuwa lego kuu la timu ni kujinasua kutoka hatua ya Daraja la Kwanza mpaka kufika Ligi Kuu Bara."Tutampa ushirikiano Kocha Makata katika kila jambo na kufanya usajili kwa mchezaji yoyote...

TANZANIA YAWALILIA WAANDISHI WATANO WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI KWA AJALI

0

OFISA Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando amesema kuwa ni ngumu kuamini juu ya safari ya wafanyakazi wenzake ambao wamefariki kwa ajali ila kazi ya Mungu haina makosa.Jana wafanyakazi watano wa Azam Media Group walifariki baaada ya kupata ajali ya gari iliyotokea maeneo ya kati ya  Shelui (Mkoani Singida) na Igunga, Tabora.Waliotangulia mbele za haki ni pamoja na...