AZAM YALETA CHANGAMOTO KWA SIMBA
Kocha Mkuu wa timu ya Azam, Ettiene Ndayiragije raia wa Burundi amepanga kukiboresha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara kwa kuwasajili wachezaji wapya wanne ambao wataenda kusaidiana na Obrey Chirwa.Chirwa ambaye hivi karibuni alisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja wa kuendelea kusalia kutumikia Azam ambayo msimu ujao itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika anatarajiwa kuonyesha uwezo wa...
KIFAA KINGINE AFCON KUSAINI YANGA
Jina la mshambuliaji Rashid Mandawa lipo kwenye orodha ya mastaa wanaotakiwa pale Yanga.Kama ulikuwa unajua kuwa Yanga wamemaliza kufanya usajlli wa washambuliaji basi umejidanganya kwani wapo kwenye mpango wa kumsainisha Mandawa ambaye yupo kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inayoendeleanchini Misri.Mshambuliaji huyo ambaye anaitumikia BDF XI ya Botswana, inadaiwa yuko kwenye mipango ya Kocha Mwinyi Zahera hivyo...
MAYANJA KUIBEBA KMC KAGAME
UONGOZI wa timu ya KMC, jana ulimtambulisha Mganda, Jackson Mayanja kuwa ndiye kocha wao mkuu ambaye ataanza kazi kwenye michuano ya Kombe la Kagame.KMC iliondokewa na kocha wao, Ettiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC na sasa imemshusha Mayanja ambaye amewahi kuzifundisha Klabu za Simba, Coastal Union na Kagera Sugar.Mayanja amepewa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza endapo...
MAN UNITED YANASA BONGE LA BEKI
MANCHESTER UNITED ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki Aaron Wan-Bissaka. Wan-Bissaka anatajwa kama miongoni mwa mabeki bora wa pembeni kwenye Ligi Kuu England.Klabu hiyo imefikia muafaka wa kulipa ada ya pauni milioni 50 (Sh. bilioni 146) ili kumsajili beki huyo wa pembeni wa Crystal Palace. Pamoja na ada hiyo, pia Wan-Bissaka ameahidiwa mshahara mnono na...
LUKAKU ANAONDOKA ZAKE MAN UNITED
Imeripotiwa kuwa Romelu Lukaku ameamua kuondoka Manchester United, hii ni kwa mujibu wa wakala wake.Straika huyo mwenye umri wa miaka 26 anatazamiwa kuachana na timu hiyo na uwezekano mkubwa ni kuwa atajiunga na Inter Milan msimu ujao wa 2019/20.Wakala wa Lukaku Federico Pastorello amesema kuwa staa wake amemweleza kuwa anataka kuondoka katika timu hiyo.Pastorello alidokeza kuwa Inter Milan ipo...
WABUNGE PIA WAMEONYESHA UDHAIFU KUHUSIANA NA TAIFA STARS, HUU SI WAKATI WA MAKUNDI
*Wakati mwingine wasialikwe kambini wakati wa mashindanoNa Saleh Ally, CairoWABUNGE walitaka kumtoa roho CAG, kisa aliwaita dhaifu, tena aliyeongoza vita hiyo ambayo wao waliita ni dharau ni Spika Job Ndugai.Huenda lilikuwa ni suala la matamshi akiwa na maana wao si imara, liliwaudhi hadi CAG akaitwa bungeni na kujadiliwa.Leo, kama kweli lile lilikuwa ni kosa, nao wamerudia baada ya kuwaita...
Shomari Kapombe bado yuko Simba
Usajili wa klabu ya Simba unaendelea, ambapo leo kupitia mitandao yao ya kijamii wamedhibitisha kumpa mkataba mpya beki wao wa kulia Shomari Kapombe.Shomari Kapombe amepewa mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo. Shomari Kapombe bado anafanya mazoezi ya kurudi kwenye hali yake ya kawaida baada ya kutoka kwenye majeraha.Beki huyo alipata majeraha akiwa na timu ya...
JAGUAR AFIKISHWA MAHAKAMANI, ATAENDELEA KUSOTA RUMANDE KAMA KAWA
Mbunge wa Jimbo la Starehe nchini Kenya na Mwanamuziki Charles Njagua maarufu Jaguar leo Juni 27 amefikishwa mahakamani akituhumiwa kutoa lugha ya chuki dhidi ya wafanyabiashara wageni hususani Watanzania na Waganda nchini Kenya.Mbunge huyo ataendelea kusota rumande kwa siku ya pili leo akisubiri uamuzi wa dhamana yake hapo kesho Juni 28.
EXCLUSIVE: KAPOMBE AONGEZA MIAKA MIWILI MIWILI SIMBA
Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo.Makubalia hayo hayo yamefikiwa baina ya klabu ya mchezaji kuendelea kutoa huduma kwa miaka miwili ijayo.Kapombe ambaye msimu uliomalizika hivi karibuni haukuwa mzuri kutokana na kusumbuliwa na majeruhi atakuwa mmoja wa wachezaji watakaoendelea na Simba msimu ujao.Simba wameendelea kuwaongezea mkataba wachezaji wao ambao wameshamaliza na...
Mimi ni shabiki wa Mtibwa na siyo Simba-Juma Kaseja
Wakati watu wengi wakiamini Juma Kaseja ni shabiki wa Simba Sc kutokana na yeye kucheza kwa muda mrefu katika klabu hiyo ya Kariakoo, leo amedhibitisha rasmi kuwa yeye siyo shabiki wa Simba.“Mimi siyo shabiki wa Simba SC, wakati mimi naanza kudaka timu ambayo ilikuwa juu ni Mtibwa Sugar. Ndiyo timu ambayo nilianza kuipenda”.“Kuna watu hawajui , mimi...