KOCHA SIMBA: YANGA WAMESAJILI MAJEMBE
MAMBO ni moto ndani ya Yanga. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya usajili wa timu hiyo ilioufanya mpaka sasa kupongezwa na baadhi ya makocha wa kutoka nje ya nchi ambao wamewahi kufundisha soka hapa nchini. Mpaka sasa Yanga imewasajili wachezaji tisa wapya ambapo sita kati ya hao ni wa kutoka nje ya nchi.Wachezaji wa nje ya nchini ni Erick...
YANGA KUMCHOMOA WINGA HUYU FUNDI KUTOKA TANZANIA PRISONS
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Yanga kwa sasa upo kwenye mazungumzo na winga wa kikosi cha Tanzania Prisons, Ismail Azizi kwa ajili ya kuwatumikia msimu ujao.Yanga kwa sasa ipo kwenye mchakato wa kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao na tayari wameanza kusainisha wachezaji wapya ambao wataifanya timu hiyo kuleta ushindani.Azizi amesema kuwa amekuwa kwenye mazungumzo na viongozi wa...
CHEKI TPL ILIVYO KWA MTINDO WA NAMBA
MEI 28 Ligi Kuu Bara ilifika tamati ambapo bingwa wa ligi msimu wa 2018/19 ni Simba baada ya kumaliza ligi akiwa na pointi 93.Timu mbili ambazo zimeshuka ni pamoja na Stand Unite na African Lyon huku mbili zitacheza playoff ambazo ni Mwadui FC itamenyana na Geita FC huku Kagera Sugar wakali wa takwimu watamenyana na Pamba ili kumpata mshindi...
NAMUNGO HAWATAKI UTANI WAANZA NA JEMBE LA ALLIANCE
UONGOZI wa Namungo FC yenye maskani yake Mtwara imemsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirmana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Namungo, Kidamba Namlia amesema kuwa ni mpango wa mwalimu, Hitimana Thiery kupata wachezaji wenye uzoefu ambao wataipa nguvu safu ya ushambuliaji."Mpango uliopo kwa sasa ni kuboresha kikosi chetu, tumeanza na Blaise wengine wanafuata...
WASHINDI 24 WA SMARTPHONE KWENYE USIBAHATISHE CHEZA NA SPORTPESA
Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa Tanzania imewazawadia simu za kisasa za mkononi (smartphone) 24 watanzania mbalimbali walioshinda katika promosheni ya Usibahatishe Cheza na SportPesa.Washindi hao ni Amran Samwel Mwanga, Jimmy Joseph, Frank Paulo, Juma Issa, Tiblus Dominik, Kassim Mbaga ambao wanatokea Dar es Salaam, Sebastian Mathias, Emmanuel Adebayo (Mwanza), Omary Mohammed, Yahaya Kindenge(Morogoro), Aliehas Butwah, Yohana Malimi (Geita) na Hawa Ramadhani,...
NIYONZIMA APEWA SOMO NA SAMAKIBA
KIUNGO fundi wa timu ya Simba Haruna Niyonzima amesema kuwa kitendo walichofanya Mbwana Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania na Ally Kiba kimempa somo kubwa hivyo atakipeleka Rwanda.Samatta na Kiba juzi walicheza mchezo wa hisani kupitia taasisi ya Sama Kiba Foundation ukiwa na lengo la kuhakikisha wanarudisha kile wanachokipata kwa jamii inayowazunguka.Akizungumza na Saleh Jembe,...
NAMUNGO KUSAJILI MAJEMBE 11, YUMO NA FUNDI WA BISAHARA UNITED
UONGOZI wa kikosi cha Namungo FC ya mkoani Mtwara ambayo imepanda daraja msimu huu umesema kuwa umejipanga kuwatangaza wachezaji wake wapya hivi 11 hii karibuni.Nurdine Barola raia wa Burkina Faso anayeitumikia Biashara United imeelezwa kuwa ni miongoni mwa mapendekezo ya mwalimu Hitimana Thiery ambaye alifanya naye kazi alipokuwa Biashara United huenda akawa sehemu ya watakaotangazwa. Ofisa Habari wa Namungo, Kidamba...
MSAFARA WA NANDY FESTIVAL WAPATA AJALI, MENEJA WAKE AFUNGUKA
Basi aina ya Coaster lililokua kwenye msafara wa kuelekea Nandy Festival Sumbawanga limepinduka Mikumi usiku wa kuamkia leo.Msafara huo ulikuwa na Wasanii Juma Nature, Whozu, Stamina,Nandy,Barnaba, Roma, Billnass, Ice Boy na Willy Paul.Maneja wa Nandy amesema Basi lililopata ajali kwenye msafara kuelekea Nandy Festival Sumbawanga lilikua limebeba Wapiga Band na Dancers na sio Wasanii, mpaka sasa Majeruhi wako Hospitalini...
KOCHA JULIO: YANGA NI TISHIO
MAKOCHA wawili maarufu na wenye heshima kwenye soka la Tanzania, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ na Juma Pondamali wamekiri kwamba Yanga mpya itakuwa tishio. Julio na Pondamali wamejenga heshima ndani ya Simba na Yanga wakiwa kama wachezaji na makocha.Julio ametamka kwamba katika Ligi ya msimu uliopita akiambiwa ni Kocha gani bora atamtaja Mwinyi Zahera wa Yanga kwani hajawahi kukosea tangu aanze...
WAWA: NINAONDOKA BONGO
BEKI kisiki wa Simba mwenye mwili uliojengeka kimazoezi Pascal Wawa amesema kuwa kwa sasa anatarajia kuondoka bongo muda wowote kuelekea nchini Ivory Coast kwa ajili ya mapumziko mafupi.Akizungumza na Saleh Jembe, Wawa amesema kuwa baada ya kutwaa ubingwa ndani ya kikosi cha Simba ni muda mwafaka kwake kusepa kwenda nyumbani kupumzika ili kujiandaa kwa msimu ujao."Nashukuru, kwa kushirikiana na...