OFA NONO YAMVUTIA DUBE, YANGA KATIKA WAKATI MGUMU
KLABU ya Al Ahly Benghazi ya Libya imeanza mazungumzo ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, ambaye kwa sasa ni miongoni…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
KLABU ya Al Ahly Benghazi ya Libya imeanza mazungumzo ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, ambaye kwa sasa ni miongoni…
DAKIKA mbili za maajabu zimetosha kuirudisha tena Yanga kileleni kibabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Fountain Gate,…
MSAKO wa kusaka pointi tatu katika Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa mechi tatu kupigwa huku vinara wa ligi hiyo na…
Kiungo wa zamani wa Yanga, Zawadi Mauya kiwango kinachoonyeshwa na mastaa wa Simba ndiyo chachu ya mafanikio yao msimu huu. Nyota wa…
MSEMAJI wa Yanga, Ali Kamwe, amesema Azam FC inakabiliwa na mtihani mgumu katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la…
UONGOZI wa Yanga unaendelea na mipango ya kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao, huku taarifa zikieleza kuwa klabu hiyo ipo katika mazungumzo…
MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wameanza safari kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya mchezo muhimu dhidi ya Fountain…
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amesema ushindi walioupata dhidi ya Mashujaa wa mabao 2-0 umezidi kuwaongezea morali ya kupambana na kuyasogelea malengo…
YANGA inaendelea kupiga safari za mbali kwenye mechi zake za ugenini lakini ikajiongezea umbali zaidi ikiirudisha Azam FC, kwenye uwanja mmoja ambao…
OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amethibitisha kuwa mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utachezwa katika Uwanja…
RAIS wa Yanga, Hersi Said, ameonekana kukamilisha moja ya kazi kubwa za usajili kuelekea msimu ujao baada ya kufanikiwa kuinasa saini ya…
OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amesema ushindi walioupata dhidi ya Mashujaa ni hatua muhimu katika mbio za ubingwa, lakini bado hawajajitangaza…