WATATU WAPANGUA VIKOSI YANGA , AZAM
VIKOSI vya Yanga SC na Azam FC vinavyokutana leo vimeonyesha mabadiliko ya wachezaji matatu kila upande ikilinganishwa na vilivyocheza mechi ya nusu…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
VIKOSI vya Yanga SC na Azam FC vinavyokutana leo vimeonyesha mabadiliko ya wachezaji matatu kila upande ikilinganishwa na vilivyocheza mechi ya nusu…
Beki wa kati wa Yanga SC, Bacca, amekiri wazi makosa yake aliyofanya kwenye mchezo wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup dhidi…
KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Abdihamid Moallin, amesema ingawa kuna sababu nyingi ambazo zingeweza kutolewa kama visingizio kutokana na mfululizo wa mechi…
UONGOZI wa Yanga umeanza rasmi harakati za kumrudisha kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki kwa kuingia kwenye mazungumzo na klabu yake ya Al…
HATIMAYE Yanga imekuwa na siku 39 za majanga baada ya kushuhudiwa ikitema rasmi ubingwa wa Kombe la CRDB ambao iliuchukua kwa misimu…
UONGOZI wa Young Africans SC umesema umeweka mikakati kabambe ya usajili kuelekea msimu ujao wa 2026/27, ambapo kipaumbele cha kwanza ni kuhakikisha…
MSEMAJI wa Yanga, Ali Kamwe, amesema kwa sasa nguvu zote za klabu hiyo zimeelekezwa katika michezo mitatu iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania…
MSEMAJI wa Yanga, Ali Kamwe, amesema klabu hiyo imejipanga kupambana hadi mwisho kuhakikisha inalitetea taji la Ligi Kuu Tanzania Bara, akisisitiza kuwa…
BAADA ya kuondolewa katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa…
BAADA ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB katika hatua ya nusu fainali, Yanga SC sasa imehamishia nguvu zake…
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kuwa lengo lao kuu kwa sasa ni kuhakikisha wanalitetea kwa mafanikio taji la Kombe la Shirikisho…
MSEMAJI wa Yanga SC Ali Kamwe ametoa onyo kali kwa wachezaji wake, akiwataka kutokubweteka hata kidogo kutokana na ugumu wa mechi zilizosalia…