KUMBE INJINIA HUVAA JEZI YA KAIZER CHIEFS AKIWA NA FURAHA
MJUMBE wa Kamati ya Klabu ya Yanga katika masuala ya usajili, Injinia Hersi Said amesema kuwa huwa anavaa jezi ya Kaizer Chiefs…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
MJUMBE wa Kamati ya Klabu ya Yanga katika masuala ya usajili, Injinia Hersi Said amesema kuwa huwa anavaa jezi ya Kaizer Chiefs…
IMEELEZWA kuwa taarifa zinazoeleza kuwa nahodha wa Yanga, Lamine Moro anadai mshahara wake hazina ukweli. Nyota huyo alisimamishwa na Kocha Mkuu, Nassreddine…
HAYA hapa mabao ya Yanga yaliyofungwa na wafungaji Yacouba Songne na Tuisila Kisinda mbele ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi leo Mei 19 kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania…
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Mei 19 dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) kupitia kwa Kamati ya Masaa 72 imemuondoa kwenye ratiba za waamuzi kwenye mizunguko mitatu, mwamuzi…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi anatarajiwa kuwakosa nyota wake sita leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania…
KIKOSI cha Yanga leo Mei 18 kimewasili salama makao makuu ya Tanzania, Dodoma na kupata fursa ya kuingia katika Bunge la Jamhuri…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Nassreddine Nabi leo Mei 18 kimeanza safari kuelekea Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi…
BAADA ya kumalizana na Namungo FC kwenye sare ya bila kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Majaliwa kwa…
WAKATI Yanga Mei 15 ikilazimishwa suluhu na Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi, gumzo kubwa ni kukataliwa kwa bao la Yanga lililofungwa na Yacouba…
BAADA ya sintofahamu juu ya Moro kutimuliwa kambini wakiwa Ruangwa mkoani Lindi kabla ya kucheza na Namungo, mwenyewe alifunguka na kuweka…