Trending Stories
View All
LEO NI ZAMU YA RUVU SHOOTING KUMENYANA NA AZAM FC
AZAM FC leo inashuka uwanjani kumenyana na kikosi cha Ruvu Shooting.Mchezo huu wa kujipima nguvu utachezwa uwanja wa Chamazi majira…
SIMBA: KUUJAZA UWANJA WA TAIFA NI JADI YETU, MASHABIKI JADI IENDELEE
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa uongozi wa Simba una imani na mashabiki wake hasa linapokuja suala la…
YANGA: MASHABIKI JITOKEZENI TAIFA MUONE BURUDANI
MSHINDO Msolla, Mwenyekti wa Yanga amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi siku ya Agosti 4 uwanja wa Taifa kuona namna watakavyotoa…
HARRY MAGUIRE KUMALIZANA NA MANCHESTER UNITED MAPEMA KWA MKWANJA MREFU
HARRY Maguire anatajwa kuja kuwa mchezaji ghali duniani baada ya Manchester United kukubali kuweka mzigo wa pauni milioni 85 kukamilisha…
NAHODHA STARS: TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO MBELE YA KENYA
JOHN Bocco, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema kuwa imani kubwa kwa sasa ni kupata matokeo…
TFF KUZIPIGA PANGA TIMU ZA TPL MSIMU
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanza mchakato wa kupunguza timu zinazoshiriki ligi kuu Soka Tanzania bara mpaka kufikia timu 16.Kupitia…
DANI ALVES ATIMKA MAZIMA PSG
DANI Alves amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Sao Paulo baada ya kumaliza mkataba na kikosi cha PSG.Nyota huyo amesaini…
MABINGWA SIMBA WALIVYOINGIA KWA WADHAMINI WAO SPORTPESA NA KUKABIDHI KOMBE, WAO WAKAONDOKA NA MKWANJA
Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe akikabidhi kombe la ubingwa wa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Ndugu pavel Slavkov. (Picha…
YANGA WAZINDUA RASMI UZI WAO MPYA KWA MWAKA 2019/20
Wakongwe Yanga kwa kushirikiana na kampuni ya GSM, leo wametambulisha jezi rasmi za timu hiyo watakazozitumia msimu wa 2019/20. Hafla…
SIMBA WAPEWA MAMILIONI YA KUTOSHA NA SportPesa
NEEMA imezidi kuongezeka kwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara, msimu wa 2028/19 lo baada ya kupewa hundi na wadhamini wa…
YANGA: NUNUENI JEZI HALISI KWA MANUFAA YA KLABU, UBORA WAKE HAKUNA MFANO BONGO
MSHINDO Msolla, mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa mashabiki wa Yanga wanunue kwa wingi jezi halisi ambazo zimezinduliwa leo kwa manufaa…
IDRSSA GUEYE: ULIKUWA MPANGO WANGU KUTUA PSG, NINA FURAHA KWA SASA
MPANGO wa nyota wa timu ya Everton kutimkia Paris Saint Germain umemfanya awe na furaha muda wote Kwa sasa.Gueye mwenye…
KIKOSI CHA SINGIDA UNITED 2019/20 HIKI HAPA
KIKOSI cha Singida United msimu wa mwaka 2019/20 hiki hapa
CHEKI MKWANJA WANAOKUNJA NYOTA WA KIMATAIFA KWA WIKI, MESSI AMAPOTEZA CR 7
Nyota hawa bora kimataifa wanapokea mkwanja mnene kwa wiki kama hiviLionel Messi wa Barcelona anakunja pauni 900,000.Cristiano Ronaldo wa Juventus…
KIKOSI CHA MAANGAMIZI CHA NDANDA FC MSIMU WA 2019/20
Kikosi cha Ndanda Sc Msimu 2019/2020MAKIPA1.Ally Mustapha Mtinge2.Abubakari Ramadhani3.Ismail Rajabu MABEKI1.Azizi Sibo2.Hemed Khoja3.Miraji Adam4.Paul Maona5.Shafii Naimu6.Godfrey Malibiche7.Said Mbaty8.Salumu Chuku9.Yusuph MguhiVIUNGO1.Abubakari Mkubwa 2.Taro…
TIKETI ZA WIKI YA MWANANCHI ZINAPATIKANA SEHEMU HIZI HAPA BONGO
KUELEKEA wiki ya Mwananchi Agosti 4, Uwanja wa Taifa tiketi zinapatikana sehemu zifuatazo: