YANGA kwa sasa wana jeuri ya kumsajili mchezaji yeyote wamtakaye kutokana na kuwa na kitita cha Sh milioni 930 ambazo wamezipata katika harambee yao ya Kubwa Kuliko.Kwa wiki kadhaa nyuma, Yanga wamekuwa wakichangia fedha kutoka kwa wanachama wa klabu...
KAMPUNI ya Bia Nchini kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Primium Lager imezindu Kampeni ya Friji ya Ushindi kwa wadau wote wa soka ili kuhamasisha Watanzania kuishangilia Tanzania ishinde iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Bar ya Juliana Mbezi Beach jijini...
BEKI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Gadiel Michael amesema kuwa kwa sasa wana nafasi ya kupata matokeo chanya mbele ya Kenya mchezo wa pili kwenye michuano ya Afcon nchini Misri.Tanzania na Kenya wote wameanza vibaya michuano ya Afcon...
TIMU ya Kaizer Chiefs imemsajili James Agyekum Kotei kwa mkataba wa miaka mitatu.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, amejiunga na Kaizer akitokea Simba SC.Usajili wa Kotei ndani ya kikosi hicho, unamaanisha kwamba Willard Katsande atatakiwa kujipanga kisawasawa kutetea...
KOCHA mpya wa KMC, Jackson Mayanja amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya akubali kusaini klabu ya Halmashauri ya Kinondoni, KMC ni mfumo wa klabu hiyo kumvutia na ubora wa kikosi.Mayanja leo amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kukinoa kikosi hicho ambacho...
YANGA SC bado wanahitaji huduma ya kiungo wa pembeni, Deus Kaseke ambaye mkataba wake unataraji kumalizika rasmi mwishoni mwa mwezi huu. Kaseke alijiunga Yanga kwa mara ya kwanza Juni, 2015 akitokea Mbeya City FC.Alishinda mataji ya ligi...
UONGOZI wa Yanga umesema wiki hii utaweka hadharani majina ya wachezaji watakaoachwa ili kuwapa muda wa kujipanga.Mpaka sasa bado kuna wachezaji ambao hawajua hatma yao ndani ya Yanga huenda wakajua mwisho wao kama watabaki ama kusepa mazima.Wachezaji hao ni...
IMEELEZWA kuwa kocha mpya wa KMC atakayerithi mikoba ya kocha Etiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC ni Jackson Mayanja.KMC kwa sasa wanatafuta Kocha Mkuu mwenye uzoefu na michuano ya kimataifa ambaye atakiongoza kikosi hicho ambacho kitashiriki michuano ya kombe...
HUKO ulipo weka kumbukumbu kabisa kwamba itakapofika Julai 19, straika wa Simba, Emmanuel Okwi ndiyo itakuwa siku ambayo ataanika juu ya mustakabali wake ndani ya kikosi hicho.Okwi amemaliza mkataba wake ndani ya Simba ambapo kwa sasa straika huyo amekuwa...