JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata Ernest Joseph (19) kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU), Anifa Mgaya, aliyefariki dunia Juni 17 baada ya kuchomwa kisu.Akizungumza na waandishi...
UONGOZI wa Simba umesema kuwa bado una imani na mchezaji wao wa zamani, Ramadhani Singano 'Messi' ambaye ametemwa ndani ya kikosi cha Azam FC kilicho chini ya Etiene Ndayiragije.Ofisa Habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa ni wakati sahihi...
MISRI ambao ni wenyeji wa michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza kufanyia Juni 21 wanashikilia rekodi ya kuandaa michuano hiyo mara nyingi Zaidi wakiwa wameandaa mara tano.Tanzania inashiriki mara ya pili ikiwa ni baada ya kupita miaka 39 mchezo wa...
RYAN Moon amezaliwa September 15, 1996 Pietermartzburg-KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini.Kwenye maisha ya soka yeye anacheza nafasi ya ushambuliaji na anapenda kuvaa jezi namba 7, amecheza jumla ya mechi 25 kwa mwaka 2016-17 akiwa na timu mbili tofauti ambazo ni pamoja na Martzburg United...
MANCHESTER United wamemkomalia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Paul Pogba licha ya yeye mwenyewe kutaka kusepa kikosini hapo.Pogba amesema kuwa kwa sasa anahitaji kupata changamoto mpya nje ya Premier League baada ya kucheza ndani ya Manchester United kwa muda...
Beki mkongwe nchini David Mwantika amerudishwa katika kikosi cha Taifa Stars kilichopo Misri kujiandaa na mashindano ya AFCON.Mwantika amerejeshwa baada ya kuumia kwa Aggrey Morris wakati wa mechi ya kirafiki dhidi ya Misri.Mwantika aliachwa katika mchujo wa mwisho nchini...
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kwa sasa hawafikirii kumuacha mchezaji Ali Kiba licha ya kuwa na majukumu mengi kwani uwezo wake ni wa juu.Akizungumza na Salehe Jembe, Mgunda amesema kuwa msimu uliopita Kiba alishindwa kuonyesha uwezo...
Kelvin John Mshambuliaji ambaye alikuwemo katika kikosi cha wachezaji 32 walioitwa na Amunike nchini Misri, amekiri kuwa kuwemo katika kikosi hicho kumemuongezea ujuzi na kumfungua zaidi, licha ya kutokuwemo katika kikosi cha wachezaji 23. Ameyasema hayo alipoongea...
Baadhi ya magoli aliyofunga Juma Balinya ambaye amesajiliwa na Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwili. Tazama vdeo yake hapa.
IMEELEZWA kuwa sababu kubwa ya kocha Ettiene Ndayiragije kuwatema wachezaji nane wa kikosi hicho ni pamoja na kutoridhishwa na uwezo wa wachezaji hao pamoja na nidhamu.Azam FC leo wanaingia kambini rasmi kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Kagame...