Trending Stories
View All
KOSA KUBWA LA MTIBWA SUGAR KUMBE ILIKUWA KUZITUNGUA SIMBA NA YANGA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kosa lao kubwa ilikuwa kuzifunga Simba na Yanga kwenye Kombe la Mapinduzi jambo lililowafanya…
SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA KMC
UONGOZI wa Simba umesema kuwa umejipanga kuona unapata matokeo mbele ya KMC kwenye mchezo wa kesho utakaochezwa Uwanja wa Taifa…
SABABU YA MUDA WA MCHEZO WA LEO KUBADILISHWA HII HAPA
UONGOZI wa Yang a umesema kuwa sababu kubwa ya muda wa mpira kubadilishwa mara kwa mara ni kutokana na timu…
NINJA, NASSORO MOHAMMED WAPATA DILI LA KUKIPIGA ULAYA, WAKWEA PIPA LEO
ABDALLAH Shaibu ‘Ninja’ ambaye ni beki na mshambuliaji kinda Nassor Mohamed aliyekuwa anakipiga Mtibwa B wamepata dili la kusepa kuelekea…
HIZI HAPA 16 ZITAKUWA VITANI KUSAKA POINTI TATU MUHIMU
LIGI Kuu Tanzania Bara kuendelea leo kuchanja mbunga kwa timu 16 kuwa uwanjani kuzisaka pointi tatu muhimu.Hizi hapa zitakutana leo,…
UJUMBE HUU WA ALLIANCE WATUMWA YANGA
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Alliance amesema kuwa wanatambua wana kazi ngumu ya kufanya leo mbele ya Yanga ila wapo…
JKT TANZANIA: TUPO TAYARI KUVAANA NA AZAM FC, SAPOTI YA MASHABIKI
ABDALAH Mohamed,’Bares’, Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa leo vijana wake watapambana mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa UKURASA wa MBELE Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
YANGA NAO WAMO, REKODI YAO MWEZI FEBRUARI IPO NAMNA HII
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga ndani ya mwezi Februari amekiongoza kikosi chake kucheza mechi saba za Ligi Kuu Bara.Kwenye…
MWEZI FEBRUARI SIMBA YAACHA REKODI HII MATATA, YAFUNGWA MABAO KIDUCHU, WALIYOFUNGA SASA
MWEZI Februari, mabingwa watetezi Simba wamecheza mechi saba za Ligi Kuu Bara na wameambulaia kichapo mechi moja mbele ya JKT…
UJUMBE HUU WA YANGA WATUMWA KWA ALLIANCE, GWAMBINA YAIPA KIBURI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kusepa na pointi tatu leo mbele ya Alliance kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara…
SIMBA MACHO YOTE KWA KMC, KESHO TAIFA HAPATOSHI
MABINGWA watetezi Simba kesho, Machi Mosi watakuwa Uwanja wa Taifa kumenyana na KMC mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na…
AZAM FC WATIA TIMU MAKAO MAKUU, KESHO KUVAANA NA JKT TANZANIA
KIKOSI cha Azam FC leo kimetia timu Dodomayalipo makao makuu ya nchi kwa ajili mchezo wao wa kesho dhidi ya…
KUMEKUCHA, SIMBA KUPOKEA UGENI LEO KUTOKA UJERUMANI UTAKAOWACHEKI WAKIMENYANA NA YANGA
JOTO la mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba limeanza kupanda ambapo kwa sasa timu ya Simba…
YANGA KUMALIZANA NA ALLIANCE KESHO TAIFA
YANGA kesho wataikaribisha timu ya Alliance FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwaja wa Taifa.Mchezo huo unatarajiwa kupigwa…
NDINGA MPYA KABISA KWA MIA NANE TU AMA JERO, NI RAHISI FANYA HIVI
BAHATI nasibu ya Jishindie Gari Mpya iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi na…