Trending Stories
View All
AZAM FC WAOMBA DUA KWA MASHABIKI, SASA WAPO ADIS ABABA
MABINGWA watetezi wa Jombe la Shitikisho Azam FC wamekwea pipa kuifuata Fasil Kenema ya Ethiopia.Azam FC itamenyana na Kenema Agosti…
SERIKALI YAJIVUNIA TIMU NNE KIMATAIFA
PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa kwa sasa Serikali inajivunia uwepo wa timu nne ambazo…
JESHI ZIMA LA SIMBA KITAIFA NA KIMATAIFA HILI HAPA,MASHINE 28
Kikosi cha simba kilichotambulishwa kwa mashabiki jana uwanja wa Taifa mbele ya mashabiki waliofika kwenye Tamasha la SportPesa Simba Wiki.…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, NAKALA YAKE NI BURE
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la BETIKA, nakala yake ni Bure
KOCHA TANZANITE: NGUVU ZETU SASA NI KWA AFRIKA KUSINI ILI KUTINGA FAINALI COSAFA
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Tanzanite’ amesema kuwa akili za timu pamoja na wachezaji ni…
KMC: MAZINGIRA YA RWANDA TUNAYAJUA HAKUNA KITAKACHOSHINDIKANA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa maandalizi yanaendelea kwa kasi kuelekea kwenye mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS…
MABINGWA WA KOMBE LA FA AZAM FC KUWAFUATA LEO KIBABE WAETHIOPIA
LEO Jumatano saa 10 alfajiri kikosi cha Azam FC kinatarajia kuanza safari kuelekea nchini Ethiopia kwa ajili ya kuiwahi Fasil…
YANGA: TOWNSHIP ROLLERS TUNAWATAMBUA HAWATUTISHI, MASHABIKI WATUPE SAPOTI
DISMAS Ten, Kaimu Katibu wa Yanga amesema kuwa kikosi kinajichimbia visiwani Zanzibar ili kujiwinda na mchezo wao wa kwanza wa…
KAGERE NOMAA. ASEPA NA MPIRA WAKE LEO TAIFA MBELE YA POWER DYNAMO
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba, leo ameibuka shujaa kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo ya Zambia…
JESHI LA SIMBA AMBALO LIMEANZA LEO KWENYE MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA DHIDI YA POWER DYNAMO
JESHI la Simba ambalo limeanza leo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo Uwanja wa Taifa:-KakolanyaKandaZimbweKagereWawaChamaMzamiruKahataShiboubKapombeSantosWilker
LIVE: SIMBA 1-0 POWER DYNAMO
MEDIE Kagere anawanyanyua mashabiki wa Simba dakika ya 03 kwa kupachika bao la kwanza akiwa ndani ya 18 baada ya…
DU! MASHABIKI WA SIMBA SASA HII SIFA, WAKOMBA TIKETI ZOTE ZA SPORTPESA SIMBA WIKI
MABINGWA watetezi wa Simbaba wamedhihirisha ubingwa wao leo na kuweka rekodi ya kujaza uwanja wa Taifa kwa kuuza tiketi zote…
AZAM FC WAJANJA KINOMA WATANGALIZA MASHUSHU ETHIOPIA, KESHO KUKWEA PIPA KUIFUATA KENEMA
KIKOSI cha Azam FC, kinatarajia kuondoka nchini kuelekea Ethiopia, kesho Jumatano saa 10 alfajiri kwa ajili ya kuiwahi Fasil Kenema…
ABDI BANDA AANZA MAISHA MAPYA YA SOKA
ABDI Banda, nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ baada ya kuitumikia Baroka FC kwa miaka…
BIASHARA UNITED : TUMEJIPANGA KULETA USHINDANI MSIMU UJAO
KOCHA wa Biashara United, Amri Said amesema kuwa msimu ujao ushindani utakuwa mkali hivyo hawatafanya uzembe mwanzoni.Akizungumza na Saleh Jembe,…
NYOMI KAMA LOTE TAIFA SIMBA DAY, TIMU ZAWASILI, WALE WA BUKU TANO TIKETI ZIMEKATA
TIMU zote mbili Simba pamoja na Power Dynamo zimewasili uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuhitimisha kilele cha SportPesa Simba…