ISHU YA KUBORONGA KWA BODI YA LIGI, MASAU AIBUKA, SIMBA YATAJWA

0
BAADA ya jana bodi ya Ligi kuweka usawa na kukubali kwamba wameboronga kwenye suala la kukusanya data za matokeo ya mchezo wa Stand United...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi.

YANGA SASA NI BALAA, SIBOMANA AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI YANGA

0
Klabu ya Yanga imeendelea kuonesha makucha yake baada ya kumalizana na kiungo Patrick Sibomana kutoka Rwanda.Yanga imezidi kuboresha kikosi chake kutokana na wachezaji wengi...

WANNE WATAJWA KUONDOKA SIMBA

0
Imeelezwa kuwa uongozi wa klabu ya Simba umepanga kuwatoa kwa mkopo nyota wake watatu akiwamo mshambuliaji, Adam Salamba, anayekwenda kukipiga nchini Ureno.Taarifa imeeleza kuwa...

EXCLUSIVE: STRAIKA RWANDA ASAINI YANGA MIAKA MIWILI

0
Kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Rwanda, Issa Bigirimana amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Yanga akitokea klabu ya APR ya Rwanda.Usajili huo...

KAULI YA KWANZA NZITO YA JACQUELINE KWA MAREHEMU DKT. MENGI

0
MKE wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, marehemu Dkt. Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe,  kwa mara ya kwanza tangu msiba huo ulipotokea,...

RAIS FIFA AIPONGEZA SIMBA KUTWAA UBINGWA

0
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), ameipongeza Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu

TAARAB NCHINI YAPATWA NA PIGO, MAMA MZANZI WA ISHA MASHAUZI AFARIKI DUNIA

0
Muimbaji wa taarab nchini Bi. Rukia Juma, ambaye pia ni mama mzazi wa msanii Isha Mashauzi, amefariki dunia leo Mei 29, 2019 akiwa njiani...

Dili la Ajibu limefufuka, TP Mazembe warudi tena

0
Baada ya TP Mazembe kuachana na usajili wa Ibrahim Ajib Migomba wiki hii kwa madai ya kutoelewana wao na mchezaji.TP Mazembe wamerudi...