VIDEO: ALIYEUA MWANAFUNZI WA KIU AKAMATWA NA POLISI
JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata Ernest Joseph (19) kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa...
SIMBA YATOA TAMKO JUU YA RAMADHANI SINGANO ‘MESSI’
UONGOZI wa Simba umesema kuwa bado una imani na mchezaji wao wa zamani, Ramadhani Singano 'Messi' ambaye ametemwa ndani ya kikosi cha Azam FC...
ORODHA YA NCHI AMBAZO ZIMEANDAA MARA NYINGI MICHUANO YA AFCON
MISRI ambao ni wenyeji wa michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza kufanyia Juni 21 wanashikilia rekodi ya kuandaa michuano hiyo mara nyingi Zaidi wakiwa wameandaa...
HUYU NDIYE RYAN MOON ANAYETAJWA KUTUA SIMBA
RYAN Moon amezaliwa September 15, 1996 Pietermartzburg-KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini.Kwenye maisha ya soka yeye anacheza nafasi ya ushambuliaji na anapenda kuvaa jezi namba 7, amecheza jumla...
UNITED YAMKOMALIA POGBA
MANCHESTER United wamemkomalia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Paul Pogba licha ya yeye mwenyewe kutaka kusepa kikosini hapo.Pogba amesema kuwa kwa sasa anahitaji kupata...
MWANTIKA AREJESHWA TAIFA STARS
Beki mkongwe nchini David Mwantika amerudishwa katika kikosi cha Taifa Stars kilichopo Misri kujiandaa na mashindano ya AFCON.Mwantika amerejeshwa baada ya kuumia kwa Aggrey...
COASTAL UNION YAFANYA MAAMUZI MAGUMU KUHUSU ALI KIBA
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kwa sasa hawafikirii kumuacha mchezaji Ali Kiba licha ya kuwa na majukumu mengi kwani uwezo wake...
Kelvin John alitamani sana kubaki Misri
Kelvin John Mshambuliaji ambaye alikuwemo katika kikosi cha wachezaji 32 walioitwa na Amunike nchini Misri, amekiri kuwa kuwemo katika kikosi hicho kumemuongezea...
TAZAMA MAUFUNDI YA MASHINE MPYA ILIYOTUA YANGA HAPA – VIDEO
Baadhi ya magoli aliyofunga Juma Balinya ambaye amesajiliwa na Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwili. Tazama vdeo yake hapa.
HIKI NDICHO KILICHOMPONZA CHIRWA, SINGANO, LYANGA KUPIGWA CHINI AZAM FC
IMEELEZWA kuwa sababu kubwa ya kocha Ettiene Ndayiragije kuwatema wachezaji nane wa kikosi hicho ni pamoja na kutoridhishwa na uwezo wa wachezaji hao pamoja...