Tag: fei toto
FEI TOTO AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA HALI YAKE AZAM
Kiungo Mshambuliaji wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema anainjoi kuichezea timu hiyo, lakini akikiri kuna ushindani zaidi kwa msimu huu kwenye Ligi...
FEI TOTO, DUBE WATAKIWA KUJITOA AZAM, DABO ASEMA HAYA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yousouph Dabo, amesema kikubwa ambacho wachezaji wake wanatakiwa kukifanya ikiwa ni pamoja na kiungo Feisal Salum na mshambuliaji Prince...
JEMEDARI AWASAGIA KUNGUNI YANGA KISA FEI TOTO
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Jemedari Said Bin Kazumari ameonyesha kuwashangaa mashabiki wa Klabu ya Yanga kufuatia vitendo vyao vya kumzodoa aliyekuwa mchezaji...
FEI TOTO LEO NDIO LEO ASEMA HAYA KUITIFUA YANGA
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema yupo fiti na tayari kuipambania timu yake itakayojitupa uwanjani kesho Jumatano (Agosti 09) kupambana dhidi...
MAYELE AFUNGUKA ALICHOMSHAURI FEI TOTO KABLA YA SAKATA LAKE
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele, amefunguka kuwa, wakati Feisa Salum alipotaka kuondoka Yanga, alimshauri asiondoke.
Hilo limejidhirisha kupitia documentary ya Yanga waliyoizindua hapoa...
MAYELE AKUBALI KUMPA FEI TOTO URITHI HUU
WAKATI mashabiki na wadau wa soka wakisubiri taarifa ya kuagwa kwa aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele mchezaji huyo amekubali ombi la kiungo wa...
SKUDU NA SAKATA LA JEZI YA FEI TOTO YANGA
Nyota mpya wa Yanga,Mahlatse Makudubela’Skudu’ amesema hakuchagua kutumia jezi namba sita bali alichaguliwa.
Skudu amezungumza hayo leo muda mfupi kwenye mkutano na waandishi wa habari...
KUMBE MKUDE SIO JEZI NAMBA 6 WA YANGA, ALLY KAMWE AFUNGUKA...
Joto likiwa linazidi kupanda kwa Mashabiki wa Soka nchini wakitaka kumjua mchezaji atakaeva jezi namba 6 ya Yanga ambayo ilikuwa ikivaliwa na Feisal Salum...
JEZI YA FEI TOTO BADO UTATA YANGA….. MKUDE AIKATAA
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans umeendelea kukomaa na usajili wa mchezaji atakayevaa jezi namba sita ‘06’, ambayo ilikuwa ikitumiwa na...
FEI TOTO AFUNGUKA KITU ATAKACHOIFANYIA AZAM, AWAAMBIA HAYA WACHEZAJI WENZAKE
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema amezungumza na wachezaji wenzake kikosini hapo na kukubaliana kufikia malengo yao msimu ujao wa 2023/24...