Home Tags LIGI KUU

Tag: LIGI KUU

KWA HAYA YANAYOENDELEA AZAM FC MNAPIGA HESABU VEMA LAKINI?

0
Ukichungulia msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa pale kileleni utawakuta Matajiri wa Dar es Salaam, Azam FC wakiwa wamepoa na alama zao 25, baada...

HALI MBAYA YA MAHUJAA FC YAMBAGIHA MANYANGA BARESI

0
Mashujaa imecheza mechi nane mfululizo bila kupata ushindi katika Ligi Kuu Bara, kitu kimemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdallah Mohamed 'Baresi' kuamua kubwaga...

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO…. HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

0
Klabu ya Ihefu imefufua matumaini katika Ligi Kuu Bara baada ya jioni ya leo kui-buka na ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya Tabora United...

MTIBWA SUGAR WAJA NA MIKAKATI HII KUOKOA JAHAZI

0
Mkuu wa Benchi la Ufundi la Mtibwa Sugar Zuberi Katwila, amepanga kuja na mikakati miwili tofauti ambayo itakirejesha katika ubora kikosi chake ambacho kwa...

IHEFU NA SIKU 60 ZA MACHUNGU

0
Sare ya 0-0 leo kwenye mchezo wa raundi ya 13 kati ya Prisona dhidi ya Ihefu imeifanya ihefu kufikisha siku 60 bila kuonja ushinda...

USAJILI DIRISHA DOGO AZAM FC SHWAAA KENYA

0
Inaelezwa kuwa, Azam FC inaweza kufanya usajili wa Mlinda Lango kutoka nchini Kenya na klabu ya AFC Leopards Levis Opiyo ili kuimarisha eneo lao...

UONGOZI WAWATULIZA WANASIMBA, MRATIBU ATOA KAULI HII

0
Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kitendo cha kubadilishiwa uwanja dhidi ya Jwaneng Galaxy Jumamosi walikishtukia kabla kwa hiyo hakitawatoa mchezoni. Awali walikuwa wacheze...

YANGA WAIPIGA KIJEMBE SIMBA KISA VIKAO VYA USIKU…. KAMWE AFUNGUKA HAYA

0
Wakati Yanga wakijiandaa kukabiliana na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly siku ya Jumamosi Desemba 2 katika Uwanja wa...

BOCCO MAMBO SIO MAMBO SIMBA,MGUU NJE MGUU NDANI…. ISHU KAMILI IKO...

1
Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent)...

AZAM FC NA MATUMAINI YA UBINGWA LIGI KUU

0
Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo, amesema bado kikosi chake kipo kwenye mbio za ubingwa na kwa sasa wanaendelea na maandalizi kwa ajili...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS