Tag: LIGI KUU
BALAA ZITO NI KUSAKA USHINDI KWA NAMNA YEYOTE
Kila timu inaposhuka uwanjani mpango kazi mkubwa ni kupata ushindi. Iwe ni kwenye mchezo wa kirafiki hata ule wa ushindani malengo bado yanabaki palepale...
HUKO AZAM FC HAKUNA UTANI TENA
Kwenye mechi zao za ligi kwa kuweka wazi kuwa watendelea kasi yao ileile waliyoanza nayo kwenye mechi za ugenini.
Ipo wazi kuwa kwenye mechi mbili...
KUMBE UJANJA WANAOTAMBA NAO YANGA UKO HAPA
Yanga inavuma kila sehemu ikiwa ya moto uwanjani ikiendeleza kasi ya kulitaka taji la tatu mfululizo la Ligi Kuu Bara, lakini kuna mambo matatu...
FEI TOTO HAKUNA KUPOA HUKO LIGI KUU
Utamu wa Ligi Kuu Bara umesimama kwa muda wa kama wiki mbili ili kupisha michezo ya kimataifa. Taifa Stars inakabiliwa na mechi mbili mfululizo...
GAMONDI AWAPA MSTAA YANGA KIBARUA KINGINE
Mchora ramani za ushindi ndani ya kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi amewapa majukumu mengine mastaa wake wakiongozwa na muunganiko wake matata wa PAM unaowajumuisha...
KAMA HALI ITAENDELEA HIVI SIMBA HAINA NAMNA NI KIPIGO TU
Kikosi cha Simba SC kimeendelea kuharibu ubao wake baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo FC, mchezo uliopigwa jana katika Dimba...
HERSI ASHINDWA KUFAFANUA JAMBO HILI LA UBINGWA WA YANGA
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amepata kigugumizi na kushindwa kusema iwapo msimu huu watachukua ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC.
Akizungumza kufutaia...
SIMBA HALI SI SHWARI LIGI KUU…… NAMUNGO WAFANYA UKATILI WA KULAZIMISHANA
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Novemba 9 Uwanja wa...
TSHABALALA AFUNGUKA KILICHOWAPONZA SIMBA
Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Tshabalala' ameeleza eneo ambalo Yanga waliwazidi ujanja ni kwenye viungo.
Tshabalala amesema, mwalimu aliwapa mpango wao mzuri na wao...
AZIZ KI AWAPA KITETE SIMBA KUELEKEA DABI YA KARAKOO
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga ambaye yupo kwenye kiwango bora hivi sasa, Stephane Aziz Ki, amesema amejiandaa kucheza kwa kupaniwa katika Kariakoo Dabi, huku akibainisha...