Tag: Simba
JOHN BOCCO NDIO BASI TENA BENCHIKHA AMKATAA HADHARANI
Safari ya misimu saba ndani ya Simba kwa mshambuliaji John Bocco inakaribia ukingoni baada ya uongozi wa klabu hiyo kumtoa kwenye mipango yao ya...
BENCHIKHA AMPA ONYO HILI JEAN BALEKE
Kocha Mkuu wa Simba SC Abdelhak Benchikha amemuonya Mshambuliaji wa timu hiyo, Jean Baleke kushindwa kutumia nafasi za mara kwa mara ambazo anazipata kwenye...
UONGOZI SIMBA WAJILIPUA MOROCCO, UNAAMBIWA HUKO UNYAMA UNYAMA TU MUHIMU POINTI...
Uongozi wa Simba SC umeamua kujilipua mapema kwa kuandaa kamati maalum ya watu 10 watakaohakikisha wanaiwezesha klabu hiyo kuvuna pointi tatu nchini Morocco dhidi...
SIO POA SIMBA NA MBINU CHAFU ZA WYDAD…..UONGOZI WATIA NENO
Uongozi wa Simba, umesema kuwa, kikosi chao kitaingia uwanjani kucheza dhidi ya Wydad Casablanca, kwa tahadhari kubwa ili wafanikishe malengo yao ya kufuzu Robo...
JEAN BALEKE AJIVISHA MABOMU ATOA KAULI NZITO KWA MASHABIKI WA SIMBA
Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Baleke amewashusha presha Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Simba SC kwa kusema bado wana nafasi ya kusonga mbele...
DEAL DONE, CHASAMBI ATUA MSIMBAZI….. YANGA WAPIGWA NA KITU KIZITO
Taarifa njema kwa mashabiki wa Simba SC ni kusainiwa kwa winga Ladaki Chasambi kwa mkataba wa miaka miwili.
Simba imewapiku wapinzani wao Yanga SC ambao...
SIO SIMBA, YANGA MAMBO NI MAGUMU STORI KAMILI IKO HIVI
Gazeti la Mwananchi jana Jumapili limeripoti katika ukurasa wake wa michezo wa nyuma kwamba “Simba, Yanga mambo magumu Afrika”, likizungumzia matokeo ya mechi mbili...
AHMED ALLY ASEMA HAYA KUHUSU WYDAD SIO POA
Afisa Habari na Mawasiliano wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, #AhmedAlly amedai kuwa ‘klabu’ ya Wydad ni mnyama mkali aliyesinzia hivyo wanatakiwa kujiandaa kukabiliana nao katika...
UJIO WA KOCHA MPYA SIMBA,ULIVYOWASAHAULISHA WANAMSIMBAZI MIAKA 30 YA SIMANZI
Inawezekana wengi wenu hii imewapita. Sio kwa sababu hamjui, ila ni kutokana na kuwa bize na ujio wa Kocha Mpya wa Simba, Abdelhak Benchikha...
SIMBA NA MZIMU WA SARE ULIOKITA MIZIZI MSIMBAZI
Mzimu wa sare umeendelea kuiandama Simba baada ya jana Jumamosi (Desemba 2, 2023) kushindwa kutamba katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya...