Tag: soka la bongo
KWA PIRA HILI LA GAMONDI HATARI
Wakati Nabi alipotangaza kuondoka Yanga na kisha benchi lake zima la ufundi likamfuata katika mlango wa kutokea pamoja na straIka kinara Fiston Mayele, wengi...
GAMONDI AFUNGUKA ISHU YA KONKONI KUANZIA BENCHI
Kocha mkuu wa Klabu ya Young Africans, Miguel Gamondi ametaja sababu za kutomwanzisha kwenye mechi zake mshambuliaji wake mpya Hafiz Konkoni akisema kuwa bado...
SKUDU ATOA KAULI NZITO BAADA YA KUREJEA NCHINI
Winga wa Klabu ya Yanga, Skudu Makudubela amerea nchini Tanzania akitokea kwao Afrika Kusini alikokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu baada ya kuumia kwenye...
AZAM COMPLEX KUANZIA SASA IITWE YANGA COMPLEX ALLY KAMWE AFUNGUA HAYA
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amewatupia dongo Klabu ya Azam baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na...
MSEMAJI WA YANGA AWAAMBIA HAYA AL MARREIKH KIMATAIFA
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe ameitaka Klabu ya Al-Merreikh ya Sudan kusema mapema kuwa mchezo wao wa Kimataifa wa Ligi ya...
SIMBA MSIMU HUU HAITAKI KUFUNGWA, VIONGOZI WAJA NA HILI
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, malengo yao msimu huu ni kushinda mechi zote watakazocheza kwenye Ligi Kuu na mashindano mengine, huku wakiweka...
HUKO SIMBA KIMEUMANA MWAMBA AGOMA KUTOLEWA KWA MKOPO
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba , winga wao Jimmyson Mwinuke amegoma kutolewa kwa Mkopo kwenda klabu nyingine huku akinishikiza avunjiwe mkataba wake.
Awali...
AHMED ALLY AMTABIRIA BALEKE MVUA YA MAGOLI
Akiwa tayari ashapachika wavuni mabao 2 katika michezo miwili ya Ligi aliyocheza Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke.
Tayari wanasimba wameshamuwekea matumaini makubwa wakijinasibu kuwa...
JE’ KMC ATAENDELEA KUWA KIBONDE WA YANGA, KAMPENI INAANZA HIVI LEO...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, Yanga leo inaanza kampeni ya kutetea taji hilo dhidi KMC.
Mchezo huo pekee wa ligi hiyo...
JEMBE LA NABI LAMKOSHA GAMONDI, MWAMBA AREJEA KUNDINI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, amesema anafurahia aina ya uchezaji wa beki wa kati wa timu hiyo, Dickson Job, huku akimuhakikishia nafasi...