Tag: usajili
SIMBA NA ADEBAYOR BILA KUCHOKA
Kikosi cha Simba kinatarajia kushuka uwanjani jioni ya leo Ijumaa kuvaana na Kagera Sugar, huku mabosi wa klabu hiyo wakirudisha hesabu zao kwa nyota...
KAZE MAMBO MENGINE YANUKIA IHEFU
Baada ya kuachana na Kocha kutoka nchini Uganda Moses Basena, uongozi wa Klabu ya Ihefu FC huenda ukamtwaa aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Young...
YANGA WABORESHA KIKOSI KAZI, WAMBA WATATU HAWA HAPA KUTUA JANGWANI
Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka Kumasi, Ghana ilipoenda kucheza mechi ya Kundi D ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
KUMBE ISHU YA KIPRE KUTIMKIA SIMBA SC IKO HIVI….. AZAM WAFUNGUKA...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Azam, Zakaria Thabiti maarufu kama Zakazakazi amefunguka kuhusu tetesi za klabu ya Simba kumtaka winga wao,...
USAJILI DIRISHA DOGO AZAM FC SHWAAA KENYA
Inaelezwa kuwa, Azam FC inaweza kufanya usajili wa Mlinda Lango kutoka nchini Kenya na klabu ya AFC Leopards Levis Opiyo ili kuimarisha eneo lao...
IBRAHIM BACCA ACHUKUA MAAMUZI MAGUMU YANGA, AJIPIGA KITANZI KIREFU
BEKI wa kati, Ibrahim Abdallah Hamad 'Bacca' ameongeza mkataba wa kuendelea na kazi katika klabu ya Yanga hadi mwaka 2027.
Bacca (26) aliyejiunga na Yanga...
KOCHA MPYA SIMBA ATOA MAAGIZO HAYA KWA MASTAA KABLA HAJATUA NCHINI
BAADA ya mechi ya jana dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast, kikosi cha Simba kimepewa mapumziko ya siku moja na kesho kitarejea mazoezini...
UNAJUA SIMBA WALIMNASA VIPI BENCHIKHA….. MBINU ILITUMIKA HIVI
Sahau matokeo ya Simba iliyopata mbele ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast kwenye pambano la Kundi B la Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba imewasapraizi...
SIMBA YAJIBU ISHU YA KUFUNGIWA KUSAJILI KISA SAKHO
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia kusajili Klabu ya Simba mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal juu ya mauzo ya Mchezaji...
WAARABU WAPANIA KUVURUGA YANGA……. SASA WATUA KWA MAXI, PACOME
Klabu ya Zamalek itatuma maafisa wake nchini Algeria katika mchezo wa CR Belouizdad dhidi ya Yanga kwa ajili ya kuwafuatilia kwa karibu Pacome Zouzoua...