HAJI MANARA AMZUNGUMZIA JACKLINE WOLPER

0
Alichokiandika ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kutokana na kitendo cha Mwingizaji Jackline Wolper kuwarushia Waandishi wa Habari fedha.

CAF YAFANYA MABADILIKO KWA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA, SIMBA NA YANGA KAZI...

0
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya mechi za mashindano makubwa.Mabadiliko hayo ni kuanzia msimu ujao wa 2019/20 ambapo limepitisha maamuzi ya...

SONSO AVUNJA UKIMYA, AAMUA KUFUNGUKA BAADA YA KUTEMWA STARS NA NDAYIRAGIJE

0
Mchezaji wa zamani wa Lipuli na sasa Yanga, Ally Sonso anayecheza nafasi ya beki, ameibuka na kueleza hana kinyongo kuhusiana na kutoitwa katika kikosi...

KIONGOZI YANGA AACHANA NA SOKA, AKIMBILIA KWENYE MUZIKI, ADAI SOKA HALILIPI

0
Ikiwa ni takribani siku kadhaa sasa zimepita tangu kuachia ngazi kwa aliyekuwa Kocha wa Makipa wa Yanga, Juma Pondamali 'Mensa', mchezaji huyo wa zamani...

MZEE KILOMONI WALA HAJAPOA, AJA NA TAMKO LINGINE ZITO JUU YA HATI SIMBA, MAGORI...

0
Mzee Hamis Kilomoni ambaye mpaka sasa amekuwa akisisitiza kuwa hajaondolewa kwenye Baraza la Wazee wa Simba, amefunguka na kusema hatishwi na kauli za viongozi...

MASHABIKI WANAAMINI DEMBELE ATAPELEKWA NA GRIEZMANN LIVERPOOL

0
MASHABIKI wa Liverpool wamebeba imani kwamba kusajiliwa kwa Antonie Griezmann kutawapa neema ya kumpata nyota wa kikosi cha Barcelona, Ousmane Dembele.Barcelona waliweka mezani kitita...

HUKU UNITED IKIMPIGA MTU 4-0, RASHFORD NA POGBA WACHEZAJI BORA WA MECHI

0
MARCUS Rashford mshambuliaji wa Manchester United leo ameibuka mchezaji bora wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Leeds ambao ni maalumu kwa ajili ya maandalizi...

DUH! KAMBI YA SIMBA SI YA MCHEZOMCHEZO

0
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kwa sasa wameweka kambi nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.Simba watapeperusha Bendera ya Taifa...

YANGA MAMBO SAFI, YAKAMILISHA VIBALI VYA MASTAA WAKE

0
UONGOZI  wa yanga umefunguka kuwa tayari umekamilisha suala la vibali vya kazi na makazi kwa wachezaji wao wote wapya ambao wamesajiliwa msimu huu.Nyota wa...