MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC,ambaye ni kinara wa utupiaji mabao kwa wazawa ndani ya ligi kuu msimu wa 2018/19 Salim Aiyee amesema kuwa watapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao wa mwisho ili kubaki kwenye ligi.Mwadui FC inacheza playoff na Geita,...
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza imekabidhi rasmi  Bendera ya Taifa kwa Nahodha wa kikosi cha timu ya Tanzania ‘Taifa Stras, Mbwana Samatta, ambao wanaondokamapema kesho kwenda Misri kwa ajili ya michuano ya...
OFISA Habari wa kikosi cha Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kwa sasa wanajipanga kusuka upya kikosi cha maangamizi msimu ujao ili wafikie malengo.Ruvu Shooting msimu wa mwaka 2018/19 walikuwa kwenye hatihati ya kushuka daraja kutokana na kuwa na...

Samatta anatafutwa EPL

0
Mtandao maarufu wa The Sun  wa nchini Uingereza umeripoti kuwa klabu nne zinahitaji huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta (26) anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubeligiji.Aston Villa(Timu iliopanda ligi kuu msimu huu), Leicester, Watford na Burnley ni...
Mshambuliaji nyota wa timu ya Taifa ya Namibia, Sadney Urikhob yuko katika hatua za mwisho kujiunga na Klabu ya Yanga.Wakati Urikhob akijiandaa kutia saini mkataba na klabu hiyo, beki Gadiel Michael ametia saini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia...
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmed Ahmed amekamatwa na Polisi wa kuzuia rushwa nchini Ufaransa.Ahmad amekamatwa akiwa Hotelini Mjini Paris, Ahmed alikuwa kwenye hotel ambayo alikuwa akikaa wakati akihudhuria mkutano Mkuu wa FIFA.Taarrifa zinasema kuwa inadaiwa...
UONGO ZI wa wa timu yamanispaa ya Kinondoni, KMC umesema kuwa hauna tatizo na kocha Etienne Ndayiragije iwapo atahitaji kuondoka kwani ni maisha ya soka yalivyo.Imeelezwa kuwa Ndayiragije tayari amenaswa na uongozi wa Azam FC kwa ajili ya kubeba mikoba ya aliyekuwa...
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utamtangaza kocha wa kikosi hicho hivi karibuni huku akidokeza kuwa anatoka ndani ya Ligi ya bongo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Popat amesema ni suala la muda kwa kuwa mipango ipo sawa."Kila...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hatokuwa tayari kufanya kazi na kocha mzawa ambaye atatafutiwa na viongozi wa Yanga.Zahera amesema ameskia taarifa za viongozi wa Yanga kuanza kufanya mchakato wa kumtafutia kocha msaidizi kwa ajili ya msimu...
MCHUNGAJI wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Daudi Mashimo amemtaka Msemaji wa Timu ya Simba, Haji Manara kumuomba radhi msanii Amber Rutty baada ya kumkashfu mitandaoni.Hivi karibuni, Mashimo alisema Timu ya Simba haiwezi kuwa bingwa, lakini matokeo yakawa kinyume...