Hii hapa orodha ya wachezaji wanaoelewa kuwa wataachwa Yanga siku yoyote kuanzia hivi sasa huku nafasi zao zikichukuliwa na wale wanaofanyiwa usajili hivi sasa.Pius BuswitaAmissi Tambwe Thabani Kamusoko Said Makapu Said MussaMatheo Anthony Juma Mahadhi Pato Ngonyani naBurhan Akilimali
KOCHA wa timu ya Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa bado hali ndani ya kikosi kwa upande wa uchumi haijakaa sawa ila amewajenga kisaikolojia wachezaji wake kubeba kombe la FA mbele ya Azam FC Juni Mosi.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola...
KOCHA wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa fainali ya kombe la FA dhidi ya Lipuli Juni Mosi uwanja wa Ilulu.Akizungumza na Saleh Jembe, Cheche amesema kuwa hana mashaka na ubora...
Jana kulikuwa na utoaji tunzo wa klabu za Simba, kitu ambacho ni kikubwa na chenye kuigwa kwa vilabu vingine ndani ya nchi yetu.Kuna vitu vingi sana ambavyo vilionekana jana. Inawezekana mjadala mkubwa ni kwenye tunzo ambazo zimetolewa.Lakini...
TIMU ya Yanga pamoja na familia ya wanamichezo duniani imepata pigo kufuatia kifo cha mjumbe wa kamati ya Yanga Felix Kibodya.Kibodya amefariki usiku wa kuamkia leo Ijumaa hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda.Makamu...
USIKU wa tuzo za MO zilizofanyika katika Ukumbi wa Hyatt Regency, ambapo muwekezaji wa Klabu ya Simba, Mo Dewji, ametoa tuzo kwa wachezaji wa klabu hiyo katika vipengele tofauti tofauti, hii hapa orodha ya washindi wa tuzo hizo:-Mshindi wa...
SERGIO Ramos ambaye ni nahodha wa kikosi cha Real Madrid amecheza jumla ya michezo 606 akiwa ndani ya kikosi hicho tangu ajiunge kwenye kikosi hicho msimu wa mwaka 2005/06 na sasa ameomba kusepa kikosini hapo. Ramos amewaeleza viongozi wa...
NYOTA wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio kwenye soka ni kujikubali yeye mwenyewe na kujipa changamoto yeye mwenyewe.Kagere ni mfungaji bora wa msimu huu kwenye ligi kuu akiwa ametupia jumla ya mabao 23 ana tuzo mbili...
UONGOZI wa Kagera Sugar itakayocheza Play off na Pamba, umesema kuwa hakuna tatizo kwa wachezaji wao kujiunga na vikosi vingine msimu ujao kwani maisha ya soka ni changamoto kila siku.Nyota wa Kagera Sugar kama mshambuliaji Kassim Khami, Ramadhan Kapera...
Huku Yanga ikimuweka kiporo mshambuliaji wake, Amissi Tambwe, nyota huyo amepata ofa moja kutoka nje ambayo hajaiweka wazi.Tambwe ni mmoja kati ya wachezaji wa Yanga ambao wamemaliza mikataba yao ndani ya klabu hiyo na mpaka sasa haijafahamika kama ataendelea...