Home Uncategorized TAKWIMU ZA MCHEZO WA LEO UWANJA WA UHURU ZIPO NAMNA HII, YANGA...

TAKWIMU ZA MCHEZO WA LEO UWANJA WA UHURU ZIPO NAMNA HII, YANGA WATANDAZA SOKA WAAMBULIA KICHAPO

Yanga leo imepoteza mchezo wake wa kwanza mbele ya Ruvu Shooting kwa kukubali kufungwa bao 1-0 lililopachikwa na Sadat Mohamed dakika ya 20.

Ruvu Shooting wanasepa na pointi tatu muhimu uwanja wa Uhuru na takwimu za mchezo zinaonyeshwa kwamba, Yanga imetandaza soka safi na kuambulia kichapo, takwimu zilikuwa namna hii:-


SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI