Home Uncategorized MWILI WA MKE WA NAHODHA WA AZAM FC, AGREY MORIS KUPUMZISHWA JANUARI,...

MWILI WA MKE WA NAHODHA WA AZAM FC, AGREY MORIS KUPUMZISHWA JANUARI, 13,2020

KIKOSI cha Azam FC,leo kilienda nyumbani kwa nahodha wa timu hiyo, Agrey Moris kumfariji baada ya kupata msiba wa kufiwa na mke wake Asteria.

Maziko ya mke wa Moris, yanatarajia kufanyika Jumatatu, Januari 13,2020 saa 8 mchana kwenye makaburi ya Mwanagati, yaliyopo Kitunda.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa Azam FC, Mke wa Moris alifariki jana jioni akiwa kwenye harakati za kujifungua.

SOMA NA HII  KISA CORONA...SHIBOUB ASUBIRI RUHUSA YA RAIS SUDANI KURUDI TZ..!!