Home Uncategorized EDEN HAZARD MAJANGA JUU YA MAJANGA HUKO REAL MADRID

EDEN HAZARD MAJANGA JUU YA MAJANGA HUKO REAL MADRID


EDEN Hazard kiungo wa Real Madrid ataukosa mchezo dhidi ya Manchester City kesho ambao ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Hazard alipata majanga wakati timu yake ikipambana ndani ya La Liga mbele ya Levante.

Kwenye mchezo huo timu yake ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 naye pia alipata majanga ya kuumia.

Hazard nyota wa zamani wa Chelsea alirejea uwanjani baada ya kupita miezi mitatu jambo ambalo ni janga kwake na timu yake baada ya kuumia tena.

SOMA NA HII  UBABE WA YANGA UPO KWENYE UTATU HUU WA MAP