Home Uncategorized KIUNGO MBUSA AINGIA ANGA ZA SIMBA KUMPA CHANGAMOTO JONAS MKUDE

KIUNGO MBUSA AINGIA ANGA ZA SIMBA KUMPA CHANGAMOTO JONAS MKUDE


JEREMIE Mumbere Mbusa ameletwa duniani 10 Juni 1991 anakipiga ndani ya AS Vita ya Congo.

Ana umri wa miaka 28 anacheza nafasi ya kiungo pia anakipiga ndani ya timu ya Taifa ya Congo.

Miongoni mwa timu ambazo amecheza ni pamoja na AS Maniema Union msimu wa 2017-18, 2015 alikipiga FC Saint-Eloi Lupopo.


Inaelezwa kuwa miongoni mwa timu ambazo zinaiwinda saini yake ni Simba ili kumpa changamoto Jonas Mkude.

SOMA NA HII  TIMU YA MBWANA SAMATTA YAAMBULIA POINTI MOJA