Home Uncategorized BREAKING: YANGA WATOA TAMKO KUHUSU MORRISON

BREAKING: YANGA WATOA TAMKO KUHUSU MORRISON

 BAADA ya leo, Agosti 8, Uongozi wa Simba kuachia picha za mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison akionekana kumwanga wino mkataba mpya huku ikisindikizwa na maneno kuwa :’Morrison is red’ Uongzi wa Yanga umetoa tamko kuhusu taarifa hizo.


Yanga imesisitiza kuwa Morrison ana dili la miaka miwli mpaka 2022 ndani ya Yanga hivyo wanafuatilia ili kujiridhisha:-

SOMA NA HII  MAJEMBE YA SIMBA HAYA HAPA NI NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI