Home Habari za michezo NGOMA AIWEKA SIMBA MABEGANI KWA STAILI HII MISRI

NGOMA AIWEKA SIMBA MABEGANI KWA STAILI HII MISRI

Habari za Simba

Wengine wanapenda kumuita Midfielder Teacher, Ni kiungo asiye na mambo mengi uwanjani.

Always ni mtu wa kutimiza majukumu yake, Ni better kwenye tactical philosophy, tactical focus, team technical understanding na attacking tactics (kidogo)

He doesn’t waste a lot of energy because of how well he reads the game.

Wazungu huwa wanasema Slow but Sure.

Experience yake ya mechi za aina hii ilionekana juma lililopita, kwangu alikuwa Man Of the Match

Huyu hakupita Raja kwa bahati Mbaya, waarabu wanaijua shughuli yake.

Imagine wanacheza timu moja na The Tank Khalid Aucho yaani mmoja acheze RDM mwingine LDM.

Leo Saa 11 Jioni atakuwa na kazi ya kutimiza ndoto za wanasimba kutinga hatua ya nusu Fainali mbele ya magwiji Al Ahly.

SOMA NA HII  JONAS MKUDE AANZA RASMI KUFANYA MAAJABU YAKE KATIKA KIKOSI CHA YANGA, MCHEKI AKIWA KAMBINI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here