Home Habari za Simba Leo MAKUNDI SIMBA NA YANGA KUJULIKANA OKT 7

MAKUNDI SIMBA NA YANGA KUJULIKANA OKT 7

HABARI ZA SIMBA

Droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ile ya kombe la Shirikisho la itachezwa Oktoba 7, 2024 huku wababe wa michuano hiyo wakitarajiwa kubaini wapinzani wao kwenye hatua ya makundi.

Mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri watakuwa kwenye chungu (Pot) namba 1 sambamba na Esperance, Mamelodi Sundowns na TP Mazembe huku Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho, Simba Sc wakiwa kwenye chungu namba 1, sambamba na Zamalek, RS Berkane, USM Alger.

SOMA NA HII  MASHABIKI SIMBA WAKUBALI UBORA WA YANGA...SOKA LA BONGO KUKUWA KWA KASI

1 COMMENT

  1. […] Kuu Bara inazidi kuchangamka ambapo kwa muda mrefu pale kileleni hujaiona Simba, Azam wala Yanga ikikaa. Fountain Gate na Singida Black Stars zimekuwa […]

Comments are closed.