Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

DILI LA MAXI NA KAIZER…GAMONDI AINGILIA KATI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ni kama amefunga mjadala juu ya dili la Maxi Nzengeli anayetajwa kutakiwa na Kaizer Chiefs akisema hakuna mchezaji...

NABI ALIA NA FEI TOTO…KAIZER CHIEF WANAFOSI KUMCHUKUA

0
KOCHA wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Nasreddine Nabi amesema bado anaumia moyoni kumkosa kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’. Akizungumza akiwa Uturuki...

AAGY SIMBA ALIA NA ADHABU ALIYOPEWA…NINAKOSA HAKI…SIKO HURU

0
MWANACHAMA wa Mnyama Simba Agnes Malkiad maarufu Aggy Simba, amelalamikia kitendo cha Sekretarieti ya Klabu hiyo kumfungia kujihusisha na masuala yanohusu klabu hiyo akitaka...

RWEYAMAMU MENEJA MPYA SIMBA AANZA NA NIDHAMU KWA WACHEZAJI.

0
UONGOZI wa klabu ya Simba, ulitangaza kumrejesha Patrick Rweyemamu kwenye nafasi ya Meneja wa timu hiyo, huku mwenyewe akisema amerejea kusimamia nidhamu ndani ya...

MENEJA WA KIBU AMKANA HADHARANI

0
SIKU moja baada ya uongozi wa Simba kutoa taarifa kwa umma juu ya utoro wa mchezaji wao, Kibu Denis, Meneja wa mchezaji huyo, Carlos...

DUBE AANZA KUFANYA VITU VYAKE YANGA.

0
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya TS Galaxy ya Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kwenye mechi ya...

LAKRED HATIANI KUIKOSA DABI YA KARIAKOO…SIMBA NA YANGA

0
MLINDA Mlango wa Simba, Ayoub Lakred huenda akakosa mchezo wa Ngao wa Jamii utakaoihusisha timu hiyo dhidi ya Yanga Agosti 8, mwaka huu kwenye...

AHMEDD ALLY…KUHUSU KIBU WALA HAITUSUMBUI SIMBA.

0
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kitendo cha utovu wa nidhamu wa mshambuliaji wao, Kibu Denis kutokuwepo kambi...

AZIZ KI NA FEISAL KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA.

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, limetoa orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali katika vinyang'anyilo tofauti, huku tuzo ya mchezaji bora wa Ligi...

KOCHA WA ASEC ATOBOA UWEZO WA AHOUA WA SIMBA

0
Kiungo mpya wa Simba, Jean Ahoua anafanya mabalaa tu huko Misri akipiga bao mbili kwenye mchezo wa kwanza wa kirafiki wa wekundu hao, na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS