Home Authors Posts by admin

admin

25198 POSTS 9 COMMENTS

KOCHA SIMBA: WACHEZAJI WASIOFUATA PROGRAMU WATAUA VIPAJI VYAO

0
KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji kufuata program walizopewa ili kulinda vipaji vyao.Ligi Kuu Bara imesimamishwa kwa muda...

HARUNA NIYONZIMA: MASHABIKI WANAHITAJI FURAHA HATA KAMA TUNAPITIA KIPINDI KIGUMU

0
HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mashabiki wanahitaji ushindi muda wote bila kujali kama wakati mwingine wachezaji wanapita kwenye kipindi kigumu jambo...

SABABU YA KOCHA MAYANJA ALIYEIONOA KMC KUTWAA TUZOHII HAPA

0
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC ametwaa tuzo ya Kocha Bora kwa mwezi Februari akiwa na kikosi cha KFC cha Uganda.Kocha huyo aliingia...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa

CAFU:NEYMAR NI MJUZI KULIKO MESSI KWA SASA

0
CAFU, nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil amesema kuwa Neymar Jr ni Habari nyingine kwa wachezaji wenye ujuzi wa kucheza mpira.Nyota...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI Ijumaa, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako

ISHU YA MAKAME KUIKANA YANGA IPO HIVI

0
ABDULAZIZ Makame kiungo wa Yanga inaelezwa kuwa amekana kwamba yeye sio mchezaji wa Yanga bali ni wa Majimaji kutokana na sauti inayosambaa kwenye mitandao...

MORRISON ASIMULIA NAMNA ALIVYOFUATWA NA SIMBA KABLA YA MCHEZO WAO MACHI...

0
MSHAMBULIAJI nyota wa Yanga, Bernard Morrison amekiri mwenyewe kwa mara ya kwanza kwamba kulikuwa na mazungumzo kwa ajili ya kujiunga na Simba.Morrison ameliambia Gazeti...

WACHEZAJI SIMBA WAINGIA ANGA ZA MBELGIJI

0
WACHEZAJI wa Simba wamejikuta wakiingia ndani ya mtego wa kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, katika kipindi hiki ambacho Ligi Kuu Bara...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS